Mazoea ya kwenda kunjunjana ghetoni kwa demu.Toka kaskazin mpaka kusini,mashariki mpaka magharibi naomba niwasalimu wana MMU wote!
Bila shaka kichwa cha habari kimesheheni maudhui ya matini hii.Nianze kwa kuorodhesha baadhi ya vitu hivyo ni;
1)Ubahili
2)Uchafu
Ongezeni mambo mengine
Hi hi hi hi hi hiiiii........eti 'ki-wolper'... Ugogo kitandani
... Papuchi inayosmell ki'wolper'
... Mizinga