kindikwili
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 1,862
- 2,875
Dah zinaa imedhihiri ,shetani mbona unatupeleka kasi sana kwenye hii dhambi. Vijana tubadilike kuanzishwa kwa threads kama 3 au 4 zote zikiwa na maudhui ya zinaa si afya kwa ufalme wa Mungu. Baba tunusuru waja wako
Usipange vitu vya kupost,ndiyo maana kuna jukwaa la dini,siasa,mapishi nk,kila jambo linaendana na muktadha wake.Si kila anayepost mapishi ni mtaalam wa mapishiDah zinaa imedhihiri ,shetani mbona unatupeleka kasi sana kwenye hii dhambi. Vijana tubadilike kuanzishwa kwa threads kama 3 au 4 zote zikiwa na maudhui ya zinaa si afya kwa ufalme wa Mungu. Baba tunusuru waja wako