Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Wezi/matapeli
Malimbukeni
Wanafiki
Watu wachoyo
Vita
Malimbukeni
Wanafiki
Watu wachoyo
Vita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uuuuuuuwi nimecheka mpaka mbaya zinauma1.shetani
2.ccm
3.mwenyekiti wa ccm
4.ccm
5.ccm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]1.shetani
2.ccm
3.mwenyekiti wa ccm
4.ccm
5.ccm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah!1. Shule
2. Shule
3. Shule
4. Shule
5.Shule
nilishafeli ila sikufeli mitihani yangu ya mwisho, sijawahi kuimiss shule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1.shetani
2.ccm
3.mwenyekiti wa ccm
4.ccm
5.ccm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani unaumiaga?
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
wewe umenifurahisha kweli jaman, akili yako iko kwenye K zaidi1. Ku ma yenye maji mengi
2. Wanawake wanene
3. Mtu mgomvi
4. Utapeli
5. Kusalitiwa
duuuh wewe unatakiwa utafutiwe dunia yako (sayari yako)Kufanya kazi
Kuamka mapema
Watu walofanikiwa
Ndoa zinazodumu
Ukweli
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
eti ya kwanza mbona hujaiweka ya kwanza. Next time anza kuandika Mungu kwa herufi kubwa, kuanza kwa herufi ndogo inamaanisha miungu1.shetani
2,CCM
3.speaker wa bunge
4.asernal
5.maradhi
6.umaskini
7.ujinga
8.kujisikia
9.uchafu
10.kutokuwa na hofu ya mungu.hii ndo ya kwanza
11.bashite
12.waziri wa michezo
13.unafki
14.na mengine mengi
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Jamani nilikumisije![emoji4][emoji4][emoji4]1 Ujinga
2 Umasikini
3 kifo
4 Maradhi
5 Uongo
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app