Taja vitu vitano unavyovichukia kuliko vitu vyote

Taja vitu vitano unavyovichukia kuliko vitu vyote

  1. Uongo/Unafiki/undumilakuwili/majungu
  2. Uonevu wa aina yoyote ule
  3. Uchafu
  4. Uvivu wa aina yoyote ule, kuanzia kutokutumia akili, kazi n.k.
 
Hakuna nachichukia sana kwa kwel,sababu cjui nachopenda sna
 
Siasa,Manchester,unafki,rohombaya

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Duhh......
Sijui kwanini sijawahi kuchukia jambo lolote..... Na kila lijalo naliona kama changamoto
 
Sikupenda shule kabisaaaa sipend shule japo wanangu nakomaa nao wasome.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
1. Shule
2. Shule
3. Shule
4. Shule
5.Shule

nilishafeli ila sikufeli mitihani yangu ya mwisho, sijawahi kuimiss shule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah!

Sent from my SM-G9287 using JamiiForums mobile app
 
Kwani unaumiaga?

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Kufanya kazi
Kuamka mapema
Watu walofanikiwa
Ndoa zinazodumu
Ukweli

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
1.shetani
2,CCM
3.speaker wa bunge
4.asernal
5.maradhi
6.umaskini
7.ujinga
8.kujisikia
9.uchafu
10.kutokuwa na hofu ya mungu.hii ndo ya kwanza
11.bashite
12.waziri wa michezo
13.unafki
14.na mengine mengi

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
eti ya kwanza mbona hujaiweka ya kwanza. Next time anza kuandika Mungu kwa herufi kubwa, kuanza kwa herufi ndogo inamaanisha miungu
 
1-majungu,umbea
2-uongo,masengenyo
3-mapenzi
4-Dharau,kiburi kujisikia
5-siasa jamani naichukia mnoo
6-kujichanganya kwenye makundi makundi
7-KUTONGOZWAAA
 
Unafiki
wizi
Dharau (no. 1)
Fujo
Umaskini
Usaliti



Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom