Taja vyakula ambavyo ukivila kabla au baada ya kunywa pombe lazima utapike na ambavyo hutatapika

Taja vyakula ambavyo ukivila kabla au baada ya kunywa pombe lazima utapike na ambavyo hutatapika

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Naanza
Wali utatapika
Ugali maini hutapiki
Kitimoto hutapiki
Mahindi ya kuchoma utatapika
 
Inategea na pombe kama pombe ni za gharama hutapiki ila kamani zabei rahisi unatapika mpaka nyongo
 
Sijawahi kutokewa na hilo jambo hata nikute chakula aina gani!Iwe ugali maharage au wali mchicha.Haijawahi kutokea.
 
Hata ninywe nini na nile wali maharage, au ugali maharage hua sitapiki kabisa, shida wengi wanayoipata kubwa wanywaji wengi hawajui kiwango chao sahihi cha unywaji , anywe kiasi gani, lakini unywaji wa maji pia muhimu sana kabla, wakati, na baada ya kunywa pombe kunywa maji
 
Hizi mbinu za ulevi unazojifunza zitawaachia watu matatizo we endelea kunywa Chai/Juice.
 
Back
Top Bottom