Taja Wachezaji ambao wamewahi kucheza pamoja Klabu mbili tofauti

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kuna wanasoka wamewahi kucheza pamoja kwenye klabu mbili au zaidi za soka pamoja!

Ikumbukwe hapa hatuhusishi timu za taifa.

Leo tuwataje wanasoka hao na vilabu tofauti walivyocheza pamoja!

Naanza na Cristiano Ronaldo ambaye amecheza pamoja na Sami Khedira Real Madrid na Juventus.

Unaweza ukaendelea.
 
1-Cr7 &Morata(R.Madrid x Juve)
2-Cr7&Khedira(R.Madrid x Juve)
3-R.Lewandowski & Mario Gotze(Bvb x Bayern)
4-Eddin Hazzard & Courtios(Chelsea x R.Madrid)
5-Sadio Mane & Virgil Vandaek( Southampton & Liverpool)
6-David Degea & Ander Herrera (At.Madrid x Man U)
7-Ashley Young,Lukaku & Sanchez (Inter Millan x Man U)
8-Chriss Smalling & Mikhitaryan( Man I x Torino)
9-Aish Manula &Bocco(Simba x Azam FC)
10-Shomari Kapombe,Manula &Bocco(Simba Azam FC)
11-Szceny & Ramsey(Arsenal xJuve)



Wapo wengi bro hata tukiwataja hawawezi kuisha hapo kwa haraka tunimeshataja zaidi ya 20!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…