Kuna wanasoka wamewahi kucheza pamoja kwenye klabu mbili au zaidi za soka pamoja!
Ikumbukwe hapa hatuhusishi timu za taifa.
Leo tuwataje wanasoka hao na vilabu tofauti walivyocheza pamoja!
Naanza na Cristiano Ronaldo ambaye amecheza pamoja na Sami Khedira Real Madrid na Juventus.
Unaweza ukaendeleaaaa...
1.Mo Ibrahim,kichuya ,mzamiru, Ally shomary na Dilunga (Mtibwa na simba)
2.Miraj Athuman na Haruna shamte (Lipuli na simba)
3.Haruna shamte na kichuya (simba na namungo)
4.Jafari Mohammed na k.Yondani (Yanga na namungo)
5.Ajibu na Gadiel (Yanga na simba)
6.Adeyum saleh na mwamnyeto (Coastal union na Yanga)
7.Yusufu magoma na Salum kipaga (singida united na Gwambina)
8.Kelvin kongwa na Benedict (Mtibwa na kagera)
9.Nchimbi na mstafaa (Polisi Tz na Yanga)
10.Bocco, Manula,Kapombe, Gadiel,Nyoni na Wawa (Azam na simba)
11.Dan lyanga na kazimoto (Simba na Jkt Tanzania)
12.Wes brown na john O'Shea (Man u na Sunderland)
13.Willian na David luiz (Chelsea na arsenal)
14.Cr7 ,Morata na khedeira (Madrid na juve)
15.Hazard na Thibout (Chelsea na Madrid)
16.Sanchez ,lukaku,Young (man u na inter)
17.Lambert na lalana (Southampton's na Liverpool)
18.Macherano na Tevez (Bocco junior na westham )
19.Mo salah na Alson Becca (Roma na Liverpool)
20.Ngolo kante ,Dan Drinkwater (Leicester na Chelsea)
21.Vamalern na fabrigus (Arsenal na Barcelona)
22.Filipe luiz na Diego coster (Chelsea na Atletco)
23.Yermina na Andre Gomez (Barcelona na Everton)
24.Kaseja,Deo munishi na Ally Mustafa (Simba na Yanga)
25.Kagereeeee, Joash Onyango na Kahata (Gor mahia na Simba)
26.Tonombe na kisinda (As vita na Yanga)
27.Tim Howard na Luis saha (Man u na Everton)
28.Marcel kaheza na rashid juma (Simba na Polisi Tz)
29.Sakho na Benteke (Liverpool na Cristo palace)
30.Adebayor,nasri,Kolo ture (Arsenal na man city)
31.Etoo na Pedro (Barcelona na Chelsea)