Taja Wachezaji ambao wamewahi kucheza pamoja Klabu mbili tofauti

Taja Wachezaji ambao wamewahi kucheza pamoja Klabu mbili tofauti

Yondani & Adeyum - Yanga & Geita Gold
Mkuu nyuzi zako zote ndio zimefukuliwa leo zikawa on top....
Nikashtuka nikajua limekupata jambo nini, Maana kibongobongo ukiona Nyimbo za msanii flani zinapigwa sana jua kaenda huyo😎😎
 
Sergio Ramos na Kipa wa Psg - Wote Real Madrid &Psg
 
Casemiro, Ronaldo & Varane - Real Madrid & Man Utd
 
Back
Top Bottom