Mfano uko kwenye genge unakula,halafu uleyekaa naye benchi moja anatema kohozi chini halafu anafuta na mguu....Uko sawa... unawapenda kama binaadamu,lakini matendo yao yako yanayo kukera.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano uko kwenye genge unakula,halafu uleyekaa naye benchi moja anatema kohozi chini halafu anafuta na mguu....Uko sawa... unawapenda kama binaadamu,lakini matendo yao yako yanayo kukera.
ukweli ndio silaha yangu ata ukinichukia siwezi kukaa kimya halafu kila mtu ana uhuru wa kuongea usinichukie kwa kutumia uhuru wangu wa kuongea nikosoe kwa hoja ili mwisho wa siku jamii ifaidike kwa hoja zetu
Kumu offend mtu personally ndio kusema ukweli? Kosoa chama, Kosoa ilani pia kosoa sera. Chama kipo daima lakini watu wanapita. Badili namna yako ya kupambana n a dhiki zako. Kama unadhani kwa kushambulia watu ndio utaongezewa ujira, unajidanganya ndugu yangu.ukweli ndio silaha yangu ata ukinichukia siwezi kukaa kimya halafu kila mtu ana uhuru wa kuongea usinichukie kwa kutumia uhuru wangu wa kuongea nikosoe kwa hoja ili mwisho wa siku jamii ifaidike kwa hoja zetu
chama hakiwezi kuubiri waadilifu bila kuwa na viongozi waadilifu mtu hawezi kutenda uadilifu bila yeye kuwa muadilifuKumu offend mtu personally ndio kusema ukweli? Kosoa chama, Kosoa ilani pia kosoa sera. Chama kipo daima lakini watu wanapita. Badili namna yako ya kupambana n a dhiki zako. Kama unadhani kwa kushambulia watu ndio utaongezewa ujira, unajidanganya ndugu yangu.
Kabla yako walikuwepo kina Malaria Sugu. Leo wako wapi?
CCM Ina waadilifu?chama hakiwezi kuubiri waadilifu bila kuwa na viongozi waadilifu mtu hawezi kutenda uadilifu bila yeye kuwa muadilifu
POINTLESSchama hakiwezi kuubiri waadilifu bila kuwa na viongozi waadilifu mtu hawezi kutenda uadilifu bila yeye kuwa muadilifu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]1.faiza foxy
2.mrisho mpoto
3.na lile toto LA malecela lizee lakini kutwa na pensi kuuubwa
Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app