Taja watu 3 wanao kukera na wasio na sifa wala mvuto katika maisha yako

Taja watu 3 wanao kukera na wasio na sifa wala mvuto katika maisha yako

Uko sawa... unawapenda kama binaadamu,lakini matendo yao yako yanayo kukera.
Mfano uko kwenye genge unakula,halafu uleyekaa naye benchi moja anatema kohozi chini halafu anafuta na mguu....
 
ukweli ndio silaha yangu ata ukinichukia siwezi kukaa kimya halafu kila mtu ana uhuru wa kuongea usinichukie kwa kutumia uhuru wangu wa kuongea nikosoe kwa hoja ili mwisho wa siku jamii ifaidike kwa hoja zetu
Kumu offend mtu personally ndio kusema ukweli? Kosoa chama, Kosoa ilani pia kosoa sera. Chama kipo daima lakini watu wanapita. Badili namna yako ya kupambana n a dhiki zako. Kama unadhani kwa kushambulia watu ndio utaongezewa ujira, unajidanganya ndugu yangu.
Kabla yako walikuwepo kina Malaria Sugu. Leo wako wapi?
 
chama hakiwezi kuubiri waadilifu bila kuwa na viongozi waadilifu mtu hawezi kutenda uadilifu bila yeye kuwa muadilifu
 
"Usimchukie mtu, bali chukia tabia aliyonayo"

Ukimchukia mtu hata akibadilika utaanza mchakato wa kuanza kumpenda.

Ukimpenda mtu na ukachukia tabia yake ni sawa ni sawa na kumpenda mtu ambaye yuko jela(tabia) na wewe uko huru!

Hakika utafanya kila namna awe huru!

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
Mzee aliyechukua nafasi ya Bongo movie aka Makinikia.

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Mmmh

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
1. Baba J
2.Baba J
3.Baba J

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nn unawachukia ao uliowataja na ukichukia mtu uwe na sababu...

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
me nawachukia wapumbavu

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
 
Wanaoweka stick za kuchokonolea meno kwenye meno wakati wengine wanakula

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom