Taja watu maarufu katika majukwaa baadhi ya Forums hapa JF

Taja watu maarufu katika majukwaa baadhi ya Forums hapa JF

Haya bhana! Shukran lakini kwani ukiona kati ya Members jumla wa JF 300,000 na Wewe unajulikana na kutambulika hivi jua ya kwamba una vitu ' adimu ' na una ' umuhimu ' wako Jamvini. Ambao hamjatajwa wala msichukie tatizo ni ' Nyota ' zenu ni za ' Bundi ' ndiyo maana hamna ' mvuto ' na wala ' hamtambuliki '. Hivi kiukweli utakuwaje ' Purely Talented and Charismatic Fella ' halafu usiwe na ' thamani ' ya Kutukuka kabisa humu JF?

Kama nawaona vile ' mtakavyofyatuka ' huko mliko ' mapangoni ' baada ya GENTAMYCINE kuliamsha ' Dude ' kwa kuwachokoza.
[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28] wamekuelewa bila shaka.
 
Eiyer, Sala na Kazi, Malcom Lumumba, Huwez taja Jf inteligence bila kuwataja hao watu
 
Back
Top Bottom