Haya bhana! Shukran lakini kwani ukiona kati ya Members jumla wa JF 300,000 na Wewe unajulikana na kutambulika hivi jua ya kwamba una vitu ' adimu ' na una ' umuhimu ' wako Jamvini. Ambao hamjatajwa wala msichukie tatizo ni ' Nyota ' zenu ni za ' Bundi ' ndiyo maana hamna ' mvuto ' na wala ' hamtambuliki '. Hivi kiukweli utakuwaje ' Purely Talented and Charismatic Fella ' halafu usiwe na ' thamani ' ya Kutukuka kabisa humu JF?
Kama nawaona vile ' mtakavyofyatuka ' huko mliko ' mapangoni ' baada ya GENTAMYCINE kuliamsha ' Dude ' kwa kuwachokoza.