Taja watu mashuhuri ambao kwako wewe unadhani hata ukiambiwa wana undugu kwa kufanana kwao hautobisha kabisa

Taja watu mashuhuri ambao kwako wewe unadhani hata ukiambiwa wana undugu kwa kufanana kwao hautobisha kabisa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mimi naanza na hawa wafuatao:

  • Waziri Angella Kairuki na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwogelo
  • Marehemu Ephraim Kibonde na Mshambuliaji wa Simba SC Meddie Kagere
  • Rais Dkt. Magufuli wa Tanzania na aliyekuwa Rais wa Msumbiji Hayati Samora Machael
  • Hayati Nyerere na Hayati Mandela
  • Mama Janet Magufuli na Mama Janet Museveni
  • Aliyemteka Roma Mkatoliki na aliyemteka Mohammed Dewji ' Mo '
  • Mwanamuziki Ruby na Mlimbwende Hamisa Mobeto
Na Wewe karibu utaje wako na ukiweza weka hata Picha zao hapa kwa ' Kunogesha ' zaidi.

Nawasilisha.
 
Sio Siri gentamycine mwandiko wako unaniboa...
Tuachanae na hayo lakini...

Eddy Murphy muigizaji maarufu wa marekani hasa kwa upande wa komedi, na senga mchekeshaji wa bongo muvi, Hawa jamaa Kama mtu na Kaka yake vile. Mtazamo Wangu tu
 
Alikiba..
images%20(4).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom