GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mimi naanza na hawa wafuatao:
Nawasilisha.
- Waziri Angella Kairuki na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwogelo
- Marehemu Ephraim Kibonde na Mshambuliaji wa Simba SC Meddie Kagere
- Rais Dkt. Magufuli wa Tanzania na aliyekuwa Rais wa Msumbiji Hayati Samora Machael
- Hayati Nyerere na Hayati Mandela
- Mama Janet Magufuli na Mama Janet Museveni
- Aliyemteka Roma Mkatoliki na aliyemteka Mohammed Dewji ' Mo '
- Mwanamuziki Ruby na Mlimbwende Hamisa Mobeto
Nawasilisha.