Taja watu wako 10 wa nguvu humu JF wanaofanya vizuri kwa sasa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
1.mkwepu jr bado anabaki kuwa kamanda,mwepesi kuelewa,mtu anayehishimika na Mambo yanazidi kuwa ya nguvu kwa ajili yake, rafiki wa wote na ana uzoefu
2.kijana wa Leo naye Ni kisanga anajua jua Sana
3.infrant soldier Bado Ni balaa Yuko vizuri
4.smart911 unforgettable
5.team 666 Ana uwezo mkubwa
6.bujibuji naye wa kumwangalia
7.dk.mwifa mtu wangu
8.mshuza 2 Naye Ana Mambo makali
9.mshipa
10.credit analysis,mshana jr,the boss,mo11 na wengine Wengi natamani kuendelea kufanya kazi na nyie
 
Kiranga uko juu mbaba!!
Bila kusahau mshanajr na watu wote wenye nyuzi addicted Kama kina Rick boy
You are far too kind to this feebly blind mind
A seeker woo finds, glory behind
Humble servant with cause, peeling back the mask
Never a better savant like Gauss, feeling what you ask
But that doesn't mean I suffer fools gladly
I hat my pleasant mean, buffer tools madly
Upping the ante, with savoir faire
Internal inferno
Popping my Dante, burning, but always fair
With mathematics, theatrics, leaving some scared
Til' geriatrics, no one to compare
 
1.mkwepu jr bado anabaki kuwa kamanda,mwepesi kuelewa,mtu anayehishimika na Mambo yanazidi kuwa ya nguvu kwa ajili yake, rafiki wa wote na ana uzoefu
2.kijana wa Leo naye Ni kisanga anajua jua Sana
3.infrant soldier Bado Ni balaa Yuko vizuri
4.smart911 unforgettable
5.team 666 Ana uwezo mkubwa
6.bujibuji naye wa kumwangalia
7.dk.mwifa mtu wangu
8.mshuza 2 Naye Ana Mambo makali
9.mshipa
10.credit analysis,mshana jr,the boss,mo11 na wengine Wengi natamani kuendelea kufanya kazi na nyie
Hapo namba sita Sasa...... Amini amini nawaambia, JF bila Bujibuji a.k.a uncle Ngingoti ni tamu sana, ila Kuna vionjo itavikosa
 
You are far too kind to this feebly blind mind
A seeker woo finds, glory behind
Humble servant with cause, peeling back the mask
Never a better savant like Gauss, feeling what you ask
But that doesn't mean I suffer fools gladly
I hat my pleasant mean, buffer tools madly
Upping the ante, with savoir faire
Internal inferno
Popping my Dante, burning, but always fair
With mathematics, theatrics, leaving some scared
Til' geriatrics, no one to compare
Pamoja mkali
 
1.mkwepu jr bado anabaki kuwa kamanda,mwepesi kuelewa,mtu anayehishimika na Mambo yanazidi kuwa ya nguvu kwa ajili yake, rafiki wa wote na ana uzoefu
2.kijana wa Leo naye Ni kisanga anajua jua Sana
3.infrant soldier Bado Ni balaa Yuko vizuri
4.smart911 unforgettable
5.team 666 Ana uwezo mkubwa
6.bujibuji naye wa kumwangalia
7.dk.mwifa mtu wangu
8.mshuza 2 Naye Ana Mambo makali
9.mshipa
10.credit analysis,mshana jr,the boss,mo11 na wengine Wengi natamani kuendelea kufanya kazi na nyie
ndege JOHN, Asante sana kwa homage and respect. Sistahili Wala sikustahili kuwepo kwenye orodha yako ya heshima.
Nashukuru kwa kuona hekima ndogo niliyonayo katikati ya upumbavu mwingi.
You are Great Thinker, a Positive Thinker
 
Back
Top Bottom