Taja watu wako 10 wa nguvu humu JF wanaofanya vizuri kwa sasa

Taja watu wako 10 wa nguvu humu JF wanaofanya vizuri kwa sasa

1.mkwepu jr bado anabaki kuwa kamanda,mwepesi kuelewa,mtu anayehishimika na Mambo yanazidi kuwa ya nguvu kwa ajili yake, rafiki wa wote na ana uzoefu
2.kijana wa Leo naye Ni kisanga anajua jua Sana
3.infrant soldier Bado Ni balaa Yuko vizuri
4.smart911 unforgettable
5.team 666 Ana uwezo mkubwa
6.bujibuji naye wa kumwangalia
7.dk.mwifa mtu wangu
8.mshuza 2 Naye Ana Mambo makali
9.mshipa
10.credit analysis,mshana jr,the boss,mo11 na wengine Wengi natamani kuendelea kufanya kazi na nyie

[emoji1621][emoji1548][emoji1679][emoji1545]
 
You are far too kind to this feebly blind mind
A seeker woo finds, glory behind
Humble servant with cause, peeling back the mask
Never a better savant like Gauss, feeling what you ask
But that doesn't mean I suffer fools gladly
I hat my pleasant mean, buffer tools madly
Upping the ante, with savoir faire
Internal inferno
Popping my Dante, burning, but always fair
With mathematics, theatrics, leaving some scared
Til' geriatrics, no one to compare
Hii ndiyo shida ya Kiranga, huwa ana misamiati migumu mno.
 
Si tumekubaliana maombolezo siku 21 jamani?

🤩
Niseme tu ukweli kiranga ndio alinifanya nikawa member wa jf 2016

Huko nyuma nilikua mnyapiaji tu !

Jamaa ana maarifa Sana Niko below 35 yrs lakini anavyojibu Ni Kama dingi yangu kabisa !
Kuna siku nimemuuliza dingi Kama anatumua jf anatumia jina la kiranga alinijibu Kama kima kiranga🤣

Kama sio kiranga Basi nimeamini watu wanafanana
 
[emoji2956]
Niseme tu ukweli kiranga ndio alinifanya nikawa member wa jf 2016

Huko nyuma nilikua mnyapiaji tu !

Jamaa ana maarifa Sana Niko below 35 yrs lakini anavyojibu Ni Kama dingi yangu kabisa !
Kuna siku nimemuuliza dingi Kama anatumua jf anatumia jina la kiranga alinijibu Kama kima kiranga[emoji1787]

Kama sio kiranga Basi nimeamini watu wanafanana
Kuna members humu humu wanafanana sn, yn huwa nawafananisha na kiranga majibu yao Gezaulole na Kiranga, huwa nawachukulia km wazee humu jf.
 
Kiranga, Mshana Jr, Bujibuji, Erythrocyte, The Boss, Binti Kiziwi, Big Show, Warumi,BAK, Mmawia, Mo 11, Infantry Soldier, Evelyn Salty, Madame B, Okwi Boban Sungu, Salary slip, Desnasdary.. ni watu nawakubali sana..
 
Back
Top Bottom