Taja watu wako 10 wa nguvu humu JF wanaofanya vizuri kwa sasa

Taja watu wako 10 wa nguvu humu JF wanaofanya vizuri kwa sasa

Asante sana sana kwa heshima hii..
Kusema kweli sikutarajia kabisa
Iam Humbled[emoji120][emoji8]
[emoji16][emoji16][emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536]
 
Ikija sredi ya kuchoshana Ndege John nakutajaaa.


Unanichosha sana ndege JOHN ila hutakuwa pekee yako.

Nitamtaja na Emmanuel Kasomi anaenisingizia mi ni dume na kunifata fata kila sredi.

Nitawataja ndugu zangu nyie kama mbwai mbwai tu.

Watu wakiona una majibu yaliyonyooka utaitwa wa kiume,sijui jinsia ya kike haina hiyo haki ya kunyoosha maelezo?

Kuna muda watu kama ndege JOHN wanahitajika sana humu JF....kuchangamsha jukwaa
 
You are far too kind to this feebly blind mind
A seeker woo finds, glory behind
Humble servant with cause, peeling back the mask
Never a better savant like Gauss, feeling what you ask
But that doesn't mean I suffer fools gladly
I hat my pleasant mean, buffer tools madly
Upping the ante, with savoir faire
Internal inferno
Popping my Dante, burning, but always fair
With mathematics, theatrics, leaving some scared
Til' geriatrics, no one to compare
Duuh
 
Tumeambiwa tutaje watu kumi ambao sijui wamefanyaje...nikaona unafit kwenye hao kumi[emoji23][emoji23]
Kwa hiyo hujui sababu? 🤣

Kumbe umenichoka.

Nitalipiza. Wait
 
Kwa hiyo hujui sababu? 🤣

Kumbe umenichoka.

Nitalipiza. Wait
"Watu kumi wanafanya vizuri kwa sasa", sijajua wanafanya vizuri katika nini...ila najua unafanya vizuri so umefit vizuri tu😋
Mwezi huu hatulipizi visasi...
 
"Watu kumi wanafanya vizuri kwa sasa", sijajua wanafanya vizuri katika nini...ila najua unafanya vizuri so umefit vizuri tu😋
Mwezi huu hatulipizi visasi...
Bahati Yako.
 
Back
Top Bottom