ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wanafanya vizuri kwenye nini?
Maswali mazuri sanaWanafanya vizuri kwenye nini NJ
Hebu tuone atatujibu nini..Maswali mazuri sana
Kwenye adabu.wana adabu Sana uki deal nao inakuwa POA piaWanafanya vizuri kwenye nini?
You are far too kind to this feebly blind mindKiranga uko juu mbaba!!
Bila kusahau mshanajr na watu wote wenye nyuzi addicted Kama kina Rick boy
Hapo namba sita Sasa...... Amini amini nawaambia, JF bila Bujibuji a.k.a uncle Ngingoti ni tamu sana, ila Kuna vionjo itavikosa1.mkwepu jr bado anabaki kuwa kamanda,mwepesi kuelewa,mtu anayehishimika na Mambo yanazidi kuwa ya nguvu kwa ajili yake, rafiki wa wote na ana uzoefu
2.kijana wa Leo naye Ni kisanga anajua jua Sana
3.infrant soldier Bado Ni balaa Yuko vizuri
4.smart911 unforgettable
5.team 666 Ana uwezo mkubwa
6.bujibuji naye wa kumwangalia
7.dk.mwifa mtu wangu
8.mshuza 2 Naye Ana Mambo makali
9.mshipa
10.credit analysis,mshana jr,the boss,mo11 na wengine Wengi natamani kuendelea kufanya kazi na nyie
Pamoja mkaliYou are far too kind to this feebly blind mind
A seeker woo finds, glory behind
Humble servant with cause, peeling back the mask
Never a better savant like Gauss, feeling what you ask
But that doesn't mean I suffer fools gladly
I hat my pleasant mean, buffer tools madly
Upping the ante, with savoir faire
Internal inferno
Popping my Dante, burning, but always fair
With mathematics, theatrics, leaving some scared
Til' geriatrics, no one to compare
ndege JOHN, Asante sana kwa homage and respect. Sistahili Wala sikustahili kuwepo kwenye orodha yako ya heshima.1.mkwepu jr bado anabaki kuwa kamanda,mwepesi kuelewa,mtu anayehishimika na Mambo yanazidi kuwa ya nguvu kwa ajili yake, rafiki wa wote na ana uzoefu
2.kijana wa Leo naye Ni kisanga anajua jua Sana
3.infrant soldier Bado Ni balaa Yuko vizuri
4.smart911 unforgettable
5.team 666 Ana uwezo mkubwa
6.bujibuji naye wa kumwangalia
7.dk.mwifa mtu wangu
8.mshuza 2 Naye Ana Mambo makali
9.mshipa
10.credit analysis,mshana jr,the boss,mo11 na wengine Wengi natamani kuendelea kufanya kazi na nyie
Swadakta
Kula viaziWanafanya vizuri kwenye nini NJ
Wee😅😅Kula viazi
MbatataViazi mchemshoo au chipx
BossSwadakta