Taja watu wako 10 wa nguvu humu JF wanaofanya vizuri kwa sasa


[emoji1621][emoji1548][emoji1679][emoji1545]
 
Hii ndiyo shida ya Kiranga, huwa ana misamiati migumu mno.
 
Si tumekubaliana maombolezo siku 21 jamani?

🤩
Niseme tu ukweli kiranga ndio alinifanya nikawa member wa jf 2016

Huko nyuma nilikua mnyapiaji tu !

Jamaa ana maarifa Sana Niko below 35 yrs lakini anavyojibu Ni Kama dingi yangu kabisa !
Kuna siku nimemuuliza dingi Kama anatumua jf anatumia jina la kiranga alinijibu Kama kima kiranga🤣

Kama sio kiranga Basi nimeamini watu wanafanana
 
Kuna members humu humu wanafanana sn, yn huwa nawafananisha na kiranga majibu yao Gezaulole na Kiranga, huwa nawachukulia km wazee humu jf.
 
Kiranga, Mshana Jr, Bujibuji, Erythrocyte, The Boss, Binti Kiziwi, Big Show, Warumi,BAK, Mmawia, Mo 11, Infantry Soldier, Evelyn Salty, Madame B, Okwi Boban Sungu, Salary slip, Desnasdary.. ni watu nawakubali sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…