Taja watu wako 10 wa nguvu humu JF wanaofanya vizuri kwa sasa

Mliocheka na kuona mauza uza kupitia hii comment gongeni like tuendelee kucheka
 
Duuh mkuu hizi terminologies utatuua, punguza kidogo what does geriatrics mean?😜
 
Brother siulikuwa mkatoliki wewe? Tena ulibatizwa, na komunio na kipaimara ukapata?
Unazidi kujipa vitu vya kuthibitisha.

Thibitisha kwamba nilikuwa Mkatoliki.

Acha kusikiliza watu wasiojua kusoma kwa ufahamu na wanaopenda kuvika watu chochote kile wanachodhani wao.
 
Kuna uzi wako huwa haunichoshi kuusoma
 
1, mackxensemelo( jina la boss complicated sana)
2. Mshana jr,
3. Da vinci
4. Rakims
5.LIKUD
6. Habib b anga
7. Infantry soldier
8.artificial inteligent
9,badison
10, dr mzizimkavu, bujibuji, nk

i most appreciate these men
 
1, mackxensemelo( jina la boss complicated sana)
2. Mshana jr,
3. Da vinci
4. Rakims
5.LIKUD
6. Habib b anga
7. Infantry soldier
8.artificial inteligent
9,badison
10, dr mzizimkavu, bujibuji, nk

i most appreciate these men
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji419][emoji625]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…