Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

My List
Kwa washkaji zangu ni
lee empire
Daby
werrason
CHARMILTON
Bonny
NIYOMBARE adui yangu namba moja kwa J
@Mods wote walio nipa bann
Transcend
Iceman 3D
STUNTER
Obe
Raimundo
@Musolini5
And all kapukuz
Kwa madada
joanah
Numbisa
miss charming
Shunie
BlessedHope
Clkey
Candyscorpion Huyu nahisi ni ubavu wangu uliotolewa sometimes
Paprika
And all kapukuz
Hao ni baadhi ya members ambao wapo na mm tangia najiunga hapa dec 1, shukran za pekee ziwaeendee brothers wa kapuku forum.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] ahsante sana mkuu
 
Toxic9
Gbefa
Sakayo
Blaki womani
Mama facebook
Zamiluni

Na wadau wote wa "wa mwisho ndo mshindi"

Jeshi lote kutoka "Real Madrid special thread" likiongozwa na Salamander
a3f52c619b0f6b7ec31a095054335f4e.jpg
 
Wakuu leo nataka tutaje watu watatu ambao wanaokufanya uendelee kuipenda JF kiasi kwamba usipoingia JF unakuwa unawakumbuka sana

Pia hata ukisikia hizi tetesi za huenda huu mtandao wetu pendwa ukifungiwa utawamiss sana

Tukianza na mimi nawakubali hawa

1)Mo 11

Huyu dogo huwa nacheka sana kila nikiona comment yake

2)Le mutuz

Huyu jamaa huwa pia ananifurahisha sana aisee mpaka najiuliza kama alishawahi kuugua ukichaa enzi za utoto wake maana majibu yake na umri wake aisee ni vitu viwili tofauti

3)Brave one

Huyu dogo naye thread zake zimetulia sana ,ukitaka thread za mastaa basi mtafute huyu jamaa mpaka najiuliza huyu jamaa anapataga wapi habari maana zingine ni nyeti sana yani.
Kolomije
 
Vp zile supplementary zako na yule house gelo wenu mmefikia wap??
 
Back
Top Bottom