Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaNakuja kukupa chocolate [emoji12]
Thanks very much
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wa machame ndio kiboko yako, hadi unyooke.
Hahahahahahahha weweeThanks very much
Tuendelee kupendana its cul.
Ila list hiyo kuna jina silioni nadhan [emoji1]
Ngoja nitafute [emoji41] nihakikishe
Halaf kuna baridiii na unavyovutia hivyo ,,nimeghairiiHahahaha
Njoo bas
[emoji122] [emoji122] [emoji122] ahsante sana mkuuMy List
Kwa washkaji zangu ni
lee empire
Daby
werrason
CHARMILTON
Bonny
NIYOMBARE adui yangu namba moja kwa J
@Mods wote walio nipa bann
Transcend
Iceman 3D
STUNTER
Obe
Raimundo
@Musolini5
And all kapukuz
Kwa madada
joanah
Numbisa
miss charming
Shunie
BlessedHope
Clkey
Candyscorpion Huyu nahisi ni ubavu wangu uliotolewa sometimes
Paprika
And all kapukuz
Hao ni baadhi ya members ambao wapo na mm tangia najiunga hapa dec 1, shukran za pekee ziwaeendee brothers wa kapuku forum.
Ahsante naww mkuu japo umemficha transcend[emoji122] [emoji122] [emoji122] ahsante sana mkuu
Hahaha, umestukaHalaf kuna baridiii na unavyovutia hivyo ,,nimeghairii
Hahaha tulia bwana nasinzia ujue ntamleta usijalAhsante naww mkuu japo umemficha transcend
Sawa shemela lala kunguni wakufaidiHahaha tulia bwana nasinzia ujue ntamleta usijal
Sitakiii ,,,unadhani mi roboti ,,,umeongeza kitanda kingine ?Hahaha, umestuka
Njoo bhana!! tutaimba tu wimbo wa hamorapper na kulala
KolomijeWakuu leo nataka tutaje watu watatu ambao wanaokufanya uendelee kuipenda JF kiasi kwamba usipoingia JF unakuwa unawakumbuka sana
Pia hata ukisikia hizi tetesi za huenda huu mtandao wetu pendwa ukifungiwa utawamiss sana
Tukianza na mimi nawakubali hawa
1)Mo 11
Huyu dogo huwa nacheka sana kila nikiona comment yake
2)Le mutuz
Huyu jamaa huwa pia ananifurahisha sana aisee mpaka najiuliza kama alishawahi kuugua ukichaa enzi za utoto wake maana majibu yake na umri wake aisee ni vitu viwili tofauti
3)Brave one
Huyu dogo naye thread zake zimetulia sana ,ukitaka thread za mastaa basi mtafute huyu jamaa mpaka najiuliza huyu jamaa anapataga wapi habari maana zingine ni nyeti sana yani.
Vp zile supplementary zako na yule house gelo wenu mmefikia wap??Wakuu leo nataka tutaje watu watatu ambao wanaokufanya uendelee kuipenda JF kiasi kwamba usipoingia JF unakuwa unawakumbuka sana
Pia hata ukisikia hizi tetesi za huenda huu mtandao wetu pendwa ukifungiwa utawamiss sana
Tukianza na mimi nawakubali hawa
1)Mo 11
Huyu dogo huwa nacheka sana kila nikiona comment yake
2)Le mutuz
Huyu jamaa huwa pia ananifurahisha sana aisee mpaka najiuliza kama alishawahi kuugua ukichaa enzi za utoto wake maana majibu yake na umri wake aisee ni vitu viwili tofauti
3)Brave one
Huyu dogo naye thread zake zimetulia sana ,ukitaka thread za mastaa basi mtafute huyu jamaa mpaka najiuliza huyu jamaa anapataga wapi habari maana zingine ni nyeti sana yani.
Teh tehSitakiii ,,,unadhani mi roboti ,,,umeongeza kitanda kingine ?
Ulivyo mtundu utanisogezea kifua chako hichoo,,,usijenibashite bureeeTeh teh
Hiki kikubwa sana kina tosha wawili