Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Muondoe Le mutuz mkuu
 
espy nimefarijika sana kuona hujatajwa hii inamaanisha nakupenda peke yangu

napenda kusoma unachoandika hasa ukiwa upo serious na sipendi kuchangia naona nitakutoa nje ya mada
hata mada zako pia nazikwepaga naona nitaanzisha mada yangu juu yako
 
Thank you mumie [emoji8]
 
Mondray chaliake nakupa gwara pia
 
@mod1
@Mod2
@Mod3
@Mod4
Mhariri
@Active
@INNOVATOR

Yaani hawa huwa nawawaza kila ninapotaka kujibu post maana ni wanoko sana hawachelewi kupiga cha kitu cha B.A.N.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…