Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Inaitwa Acting level experthahahahh utani mondray
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaitwa Acting level experthahahahh utani mondray
Muondoe Le mutuz mkuuWakuu leo nataka tutaje watu watatu ambao wanaokufanya uendelee kuipenda JF kiasi kwamba usipoingia JF unakuwa unawakumbuka sana
Pia hata ukisikia hizi tetesi za huenda huu mtandao wetu pendwa ukifungiwa utawamiss sana
Tukianza na mimi nawakubali hawa
1)Mo 11
Huyu dogo huwa nacheka sana kila nikiona comment yake
2)Le mutuz
Huyu jamaa huwa pia ananifurahisha sana aisee mpaka najiuliza kama alishawahi kuugua ukichaa enzi za utoto wake maana majibu yake na umri wake aisee ni vitu viwili tofauti
3)Brave one
Huyu dogo naye thread zake zimetulia sana ,ukitaka thread za mastaa basi mtafute huyu jamaa mpaka najiuliza huyu jamaa anapataga wapi habari maana zingine ni nyeti sana yani.
Siwezi kumuondoa mkuu huyu jamaa majibu yake kama punguani wa head huwa yananichekesha sanaMuondoe Le mutuz mkuu
Thank you mumie [emoji8]list yangu ninaowakubali ni
Kapuku forum wote wakiongozwa na mama mchungaji blessed hope, Quigley, lee, werrason, Bitoz, obe, mondray, Mussolin, Transcend, shululu, Baily 5
Iceman 3d
Bonny
Sumbai
Fakalava
Baba paroko toxic9
The Bold
Lege
Ibra 85
Steve
Nokia 83
Stunter
Ambiele kiviele
Ndumilakuwili
Kcamp na Chief mkwawa
Daby
Clkey
Rogie
Faizafoxy
miss chagga
Nifah
geniveros
jj'es
Dinazarde
Joana
Miss Natafuta
sky el cat
Madame S
Madame B
Sakayo
Mustaphagentleman
Asprin
Raimundo
mtzmweusi
Johnson
Nyani Ngabu
Gentamycine
Bujibuji
Mshana jr
The Boss
BAK
sembo
warumi
Ushimen
Behaviourist
nikikumbuka kesho naendelea na list tena
[emoji8] [emoji8]Thank you mumie [emoji8]
Pamoja kamanda...
Mondray chaliake nakupa gwara piaMy List
Kwa washkaji zangu ni
lee empire
Daby
werrason
CHARMILTON
Bonny
NIYOMBARE adui yangu namba moja kwa J
@Mods wote walio nipa bann
Transcend
Iceman 3D
@Shululu
@Mussolin5
[USER=327659]usser
Saint Ivuga
BAK
And all kapukuz
Kwa madada
joanah
Numbisa
miss charming
Shunie
BlessedHope
CHIKIRA MTABARI
mahondaw
Clkey
Candyscorpion Huyu nahisi ni ubavu wangu uliotolewa sometimes
Paprika
And all kapukuz
Hao ni baadhi ya members ambao wapo na mm tangia najiunga hapa dec 1, shukran za pekee ziwaeendee brothers wa kapuku forum.[/USER]
Ahsante chalii yangu nakupa mavi ya mbuziMondray chaliake nakupa gwara pia
[emoji23][emoji23] toa ubashite hapaAhsante chalii yangu nakupa mavi ya mbuzi
Basii mkuu punguza povu[emoji23][emoji23] toa ubashite hapa
Kwema lknBasii mkuu punguza povu
Kwema mkuu, ulipotea siku ngapi hzKwema lkn
1 week.... kidogo tunasoma ramani then tunaendelea na safari. Siunajua hizi nchi.Kwema mkuu, ulipotea siku ngapi hz
imepita hiyo mkuuPamoja kamanda...
Tukikutana tupungiane bro