Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]
 
pepo la tamaa ya ngono zembe mm sina babu
Mpaka nikuhamishe lile jukwaa lako ndo ntaamini... Kuna mahali nlikusoma eti hupendi mboga bamia... yani we mtoto umeharibiwa na pepo la matango. Nna kazi sana ya kukuombea wallah
 
mimi huyo nimeongea hivyo [emoji134] [emoji134]
 
Tena nimefanya kusudiiiiii,, nimekugayaaa
Umehamia kwa Al-Watan eeeh??[emoji3] [emoji3]

Ila ana mahela huyo. Huyo naskia alishawahi kukausha ATM mbili ndani ya dakika 10 tu.

Msalimie...nadhani sasa atakuwa keshamaliza maombolezo ya yule nduguye aliyefariki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
The boss - interesting
Faiza foxy - huko shule mlisomea ujinga
The bold - story zilizokwenda shule
Chief mkwawa - mchawi wa technology
Mshana Jr - mtaalamu wa ndumba na mizizi
 
Umehamia kwa Al-Watan eeeh??[emoji3] [emoji3]

Ila ana mahela huyo. Huyo naskia alishawahi kukausha ATM mbili ndani ya dakika 10 tu.

Msalimie...nadhani sasa atakuwa keshamaliza maombolezo ya yule nduguye aliyefariki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijahami but nawe umenigaya,,,halaf kuna kitu umeniudhiiii,,,,ATM ulikausha weweee sio Alwatan bana
 
Kheee we bibie mi nimekuudhi nini tena?

Vile nimemchana Gwajima wenu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Usiwe na shaka hata Bashite ntamchana tu nikipata vyeti vyake.
 
Mim na wewe bashite anatuhusu niniii,,,,ya kwetuu ngoja nikuijieee
 
Kheee we bibie mi nimekuudhi nini tena?

Vile nimemchana Gwajima wenu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Usiwe na shaka hata Bashite ntamchana tu nikipata vyeti vyake.
Umemchana wapi nikasome.. nipe link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…