Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Sa ntapitaje njiani without jamani mchungaji, usinitie majaribuni
Without ile inayoleta shida kuweka utakaso... yani wakati nakufanyia maombi.. nikikuvuvia mapepo ukijinyoosha tu namimina baraka...you know woram seyying???
 
Shunie yuko kwenye mkesha kwa shemasi toxic9 ... nimempa shemasi kazi ya kumvuvia ili ayatoe mapepo yote mwilini mwake... hasahasa pepo la tamaa ya ngono zembe

Hahahahhaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie kazi ipo, hebu tuanze na katazo la kwenda kwenye jukwaa pendwa, kule ndiyo anapo haribikiwa babu asprin, ila wewe kiboko eti ayatoe mapepo yote mwilini mwake hasahasa pepo la tamaa ya ngono hapo nimecheka sana, umenifanya nikumbuke post zake kuleeee kwenye jukwaa lake maana yeye ni mwenyekiti kiongozi wa jukwaa pendwa
 
Without ile inayoleta shida kuweka utakaso... yani wakati nakufanyia maombi.. nikikuvuvia mapepo ukijinyoosha tu namimina baraka...you know woram seyying???
Babuu
Kwa heri
 
Kwanza ni mpenz wangu Nifah
Heaven Sent na huyu binti sky sijui nini amalizie mwenyewe jina lake hawa bana nikiwaona mi huwa nafurahi sana na siku yangu inaenda safi sana na wish one day nikutane na hawa watu wote watatu af nifanye jambo ambalo wata enjoy sana na hawata sahau na niwabebe gift ambazo zitakuwa kumbukumbu kwao vyema
 
Hahahahhaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie kazi ipo, hebu tuanze na katazo la kwenda kwenye jukwaa pendwa, kule ndiyo anapo haribikiwa babu asprin, ila wewe kiboko eti ayatoe mapepo yote mwilini mwake hasahasa pepo la tamaa ya ngono hapo nimecheka sana, umenifanya nikumbuke post zake kuleeee kwenye jukwaa lake maana yeye ni mwenyekiti kiongozi wa jukwaa pendwa
[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Back
Top Bottom