Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
hamna yanapakwa wazi kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana, nitaanza jaribu hii, kumbe wahumini mnaipenda hii ya vificho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamna yanapakwa wazi kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana, nitaanza jaribu hii, kumbe wahumini mnaipenda hii ya vificho
Aiseee [emoji134] [emoji134]
Basi nafikiri hata kupakwa ni kanisani piahahahh nilikanyaga kanisani
Jamani mpendwa tuombe tu uzima, Inshallah tutaonana siku moja. Usisahau zawadi hahaKwanza ni mpenz wangu Nifah
Heaven Sent na huyu binti sky sijui nini amalizie mwenyewe jina lake hawa bana nikiwaona mi huwa nafurahi sana na siku yangu inaenda safi sana na wish one day nikutane na hawa watu wote watatu af nifanye jambo ambalo wata enjoy sana na hawata sahau na niwabebe gift ambazo zitakuwa kumbukumbu kwao vyema
Mwenyewe sitaki, naanza kunusa harufu ya udanganyifumm sitaki sakayo anakutosha
Umeonaeee, huo ni mtego maalumuhiyo ya kufata sadaka yako nyumban kwake siitaki
Bora kuwa mpagani mpaka Yesu Kristo arudiunaenda wapi tena teh teh
hahahahhh sasa hivi unazisoma za kirumiUyu Mzee akiondoka ikulu nitakutafuta.
hahahhah kwahuyo sio kanisani kupakwa without [emoji23]Basi nafikiri hata kupakwa ni kanisani pia
hahahhahahMwenyewe sitaki, naanza kunusa harufu ya udanganyifu
hahhaahhBora kuwa mpagani mpaka Yesu Kristo arudi
Hehehehahahhah kwahuyo sio kanisani kupakwa without [emoji23]
hahahh kwa Babu naona mnapakwa mmoja mmojaHehehe
Hivyo eeeh, sasa wapakiwa wapi waumini si wengi sana
Huyu binti lazima tushirikishe wanamaombi wenzetu kina TB Joshua, Gwajima, Kakobe, Mwakasege na ikibidi kabisa Papa aitwe... Pepo limemkalia sehemu mbaya sana... Yani akiona hata Jogoo lile eneo linaanza kutekenya...Hahahahhaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie kazi ipo, hebu tuanze na katazo la kwenda kwenye jukwaa pendwa, kule ndiyo anapo haribikiwa babu asprin, ila wewe kiboko eti ayatoe mapepo yote mwilini mwake hasahasa pepo la tamaa ya ngono hapo nimecheka sana, umenifanya nikumbuke post zake kuleeee kwenye jukwaa lake maana yeye ni mwenyekiti kiongozi wa jukwaa pendwa
Unaikimbia baraka???hiyo ya kufata sadaka yako nyumban kwake siitaki