Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

I'm speechless Mkuu! Nawaelewa sana wafuatao.

1,MSEZA MKULU ,Napenda sana mada za huyu "Thinkers".Ni za kufikirisha na zina Elimu kubwa sana ndani yake.Anatu-insist sana Juu ya usomaji wa vitabu ila huwa hatuielewi Logic ya yeye kutuasa juu ya hilo.Mungu ambariki na amtie nguvu pia ya kuweza kutubandikia Mada mchanganyiko humu Jamvini.I salute You Mkuu,Naamini ipo siku utanifundisha mengi.Ipo siku.

2,FaizaFoxy ,Napenda sana Majibu ya Huyu Mama {Utanisamehe kama nitakuwa nimekushusha umri/hadhi}.Ana majibu Fikirishi mno ila kwakuwa wengi wetu humu ni kina Changamkia tenda hatupendi challenge na hatupendi kukosolewa.Ukimsoma utamuelewa vizuri na ukimuelewa unaweza kumchukia.She is a genius in Jamii Forums.

3,M.M.Mwanakijiji,Napenda sana chambuzi za kina za Huyu Mzee {I'm not sure of his age but i think he'll be a grandpa}.Ana uchambuzi uliotukuka na Anayafahamu mengi kuhusiana na mada atakayoizungumzia.Hakika ni hazina kwa Members wote humu Jamvini.Mingu ambariki sana.

Idadi ni kubwa mtoa mada,Wapo wengi ambao wamenisaidia kui-shape akili yangu kwa namna moja au nyingine ila mto mada kani-limit sana.Bila kukusahau mtoa mada,Nawe nakukubali pia.
 
Kwanza ni mpenz wangu Nifah
Heaven Sent na huyu binti sky sijui nini amalizie mwenyewe jina lake hawa bana nikiwaona mi huwa nafurahi sana na siku yangu inaenda safi sana na wish one day nikutane na hawa watu wote watatu af nifanye jambo ambalo wata enjoy sana na hawata sahau na niwabebe gift ambazo zitakuwa kumbukumbu kwao vyema
Jamani mpendwa tuombe tu uzima, Inshallah tutaonana siku moja. Usisahau zawadi haha
 
Hahahahhaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie kazi ipo, hebu tuanze na katazo la kwenda kwenye jukwaa pendwa, kule ndiyo anapo haribikiwa babu asprin, ila wewe kiboko eti ayatoe mapepo yote mwilini mwake hasahasa pepo la tamaa ya ngono hapo nimecheka sana, umenifanya nikumbuke post zake kuleeee kwenye jukwaa lake maana yeye ni mwenyekiti kiongozi wa jukwaa pendwa
Huyu binti lazima tushirikishe wanamaombi wenzetu kina TB Joshua, Gwajima, Kakobe, Mwakasege na ikibidi kabisa Papa aitwe... Pepo limemkalia sehemu mbaya sana... Yani akiona hata Jogoo lile eneo linaanza kutekenya...

Unganeni nami kuliombea pepo baya limtoke binti Shunie
 
Back
Top Bottom