Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Robokashindahhaleluuuuyaaa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Robokashindahhaleluuuuyaaa....
Wee si Mimi ee!
Sa ntapitaje njiani without jamani mchungaji, usinitie majaribuniUsisahau... uje without kabisa ili tusipoteze muda. Sawa enh??
Hujanitaja eeh?
Utakoma....
Without ile inayoleta shida kuweka utakaso... yani wakati nakufanyia maombi.. nikikuvuvia mapepo ukijinyoosha tu namimina baraka...you know woram seyying???Sa ntapitaje njiani without jamani mchungaji, usinitie majaribuni
Asindakararaaa...!!Robokashindah
nipo mmNjoo njia ya msalaba....
pepo la tamaa ya ngono zembe mm sina babu
BabuuWithout ile inayoleta shida kuweka utakaso... yani wakati nakufanyia maombi.. nikikuvuvia mapepo ukijinyoosha tu namimina baraka...you know woram seyying???
hahahh nilikanyaga kanisaniSijui hata wanapakana wakiwa wapi, hivi wewe uliyakanyaga wapi tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana, nitaanza jaribu hii, kumbe wahumini mnaipenda hii ya vificho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mafuta mnapakana wapi hotelin au
hiyo ya kufata sadaka yako nyumban kwake siitakiShost hutaki tena jamani
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Hahahahhaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie kazi ipo, hebu tuanze na katazo la kwenda kwenye jukwaa pendwa, kule ndiyo anapo haribikiwa babu asprin, ila wewe kiboko eti ayatoe mapepo yote mwilini mwake hasahasa pepo la tamaa ya ngono hapo nimecheka sana, umenifanya nikumbuke post zake kuleeee kwenye jukwaa lake maana yeye ni mwenyekiti kiongozi wa jukwaa pendwa
Aiseee [emoji134] [emoji134]Yani nikiona jina lako nawaza kugonga tu.
unaenda wapi tena teh tehBabuu
Kwa heri