[emoji8] [emoji8] [emoji4] [emoji4] [emoji106] [emoji122]Hapa sasa kwanza nawakaubali jf woote
Halafu wapo sasa wa kukwawakilisha
Aishah2016
Mrs Van
Hance Mtanashati
Mondray
Dinazarde
Sky Eclat
ISIS
MSAGA SUMU
Sakayo
Candyscorpion
PNC 1
Aleyn
CHIKIRA MTABIRI
Shunie
warumi
espy
Watu wangu woote wa majukwaa ya Barcelona fc, Real Madrid na Man utd.
Toxic mambo vp rfk yngu[emoji4] [emoji4] [emoji4]Pacha tupo pamoja sana, pia natambua uwepo wako pacha
NgastukaaKwahiyo utakuja without siyo?? Yani without ile ya pink, au leo umetinga nyeupe??? Navyokujua ulivo sista duu huwezi vaa nyekundu wala nyeusi.
KAHTAAN FAIZAFOX NA MZEE MO SAID ALLAH AWAZIDISHIE HEKMAA NA NA UJUZII HAO NI WALIMU WANGUU
Kwahiyo utakuja with au without??Ngastukaa
Binam tumetoka mbaliii ujueeeDinazarde, faiza foxy, Heaven on Earth , lusungo mshana, Matola, @mzizikavu geniveros Nyani Ngabu Hance Mtanashati Nifah chige yani ni wengi wengine nimewasahau
Mie naja kanisani with!!!!!Kwahiyo utakuja with au without??
Wakuu leo nataka tutaje watu watatu ambao wanaokufanya uendelee kuipenda JF kiasi kwamba usipoingia JF unakuwa unawakumbuka sana
Pia hata ukisikia hizi tetesi za huenda huu mtandao wetu pendwa ukifungiwa utawamiss sana
Tukianza na mimi nawakubali hawa
1)Mo 11
Huyu dogo huwa nacheka sana kila nikiona comment yake
2)Le mutuz
Huyu jamaa huwa pia ananifurahisha sana aisee mpaka najiuliza kama alishawahi kuugua ukichaa enzi za utoto wake maana majibu yake na umri wake aisee ni vitu viwili tofauti
3)Brave one
Huyu dogo naye thread zake zimetulia sana ,ukitaka thread za mastaa basi mtafute huyu jamaa mpaka najiuliza huyu jamaa anapataga wapi habari maana zingine ni nyeti sana yani.
Siwezi kukutupa mshkaji wangu, Tupo pamoja mwanzo mwisho ninjaSiwezi kukusahau @stunker
Sawa ila ukija nyumbani kuchukua maji ya baraka uje without. Sawa enh?Mie naja kanisani with!!!!!
Maji ya baraka yakaa nyumbani baba Paroko, nitakuja kwa imaniSawa ila ukija nyumbani kuchukua maji ya baraka uje without. Sawa enh?