Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

HR 666 ... uyu Jamaa huwaga simuelewi kabisa sometimes No , sometimes Yes ! Sijui ni jinsia gani ?
 
Nawakubali hawa washkaji zangu

1)Iceman 3D

2)Super market

3)Isho boy

4)Msaga Sumu

5)Raimundo
Bila kusahau na warembo kama

1)Tya 02

2)Evelyn Salt

3)Irk


Bila kumsahau mpwa wangu Joanah
Bro mbona Tunda hayumo[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mie kuna wengi sana kusema kweli. Wananifanya nicheke sana humu, kunifanya nitafakari kwa kina kuhusu mambo mbali mbali kuhusu nchi yetu pendwa na Dunia yetu yote. Ni wengi sana waliosababisha niwe addicted na forum hii. Nahofia kuwataja mmoja mmoja maana naweza kabisa kuwasahau wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…