Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Lundenga nae kwa visa anaweza nipa hata Mimi mama mwenye watoto wa3, bora awe na mood tuu mengine hataki kujua....
hahaha weka picha yako tukuthaminishe lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lundenga nae kwa visa anaweza nipa hata Mimi mama mwenye watoto wa3, bora awe na mood tuu mengine hataki kujua....
Kwa kuwa ni wazi kuwa Dada Sitti Mtemvu atavuliwa taji kwa kudanganya umri na kuongoe kifaransa ili kukwepa maswali napendekeza Taji apewe yule mshindi wa tatu.
Nadhani yule ana sifa zote za kuwa Miss TZ.
NB
Ni hawa hawa kina Lundenga walimtema Miriam Odemba lakini leo ni maarufu Duniani.
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Miriam_Odemba
Hivi baba wa Kiafrika kupiga picha na binti yako akiwa kwenye mavazi haya hii ni adabu ya wapi?
akikujibu nishtue na mimi nahitaji majibu katika hili swaliKwanini sio mshindi wa Pili ndo apewe Hilo taji
Hivi baba wa Kiafrika kupiga picha na binti yako akiwa kwenye mavazi haya hii ni adabu ya wapi?
akikujibu nishtue na mimi nahitaji majibu katika hili swali
Mbona mbowe alipopiga picha anakula denda mbele ya wanawe mlisema ni mambo ya kawaida!!! Au kunya anye kuku, akinya bata kaharisha? Acheni double standard bana. Mkiamua kukosoa toeni kwanza mahaba na chuki zenu ndio mtakua mnaeleweka.
Kwa habari nilozosikia Taji Sitti keshajivua ila Lundenga ndio anangangania kua aendelee kubaki nalo.. hata ule uvumi wa mara ya kwanza nasikia ilikua kweli japo Lundenga akaja kukanusha kua si kweli.
Ni tetesi tu
Hehehe....yani utafikirI kichangudoa...na alivyojichubua sasa eti hii ni siku ya graduation. .seriously.????????
Maajabu haya... umesikia mshindi wa pili halitaki hilo taji, au?Kwa kuwa ni wazi kuwa Dada Sitti Mtemvu atavuliwa taji kwa kudanganya umri na kuongoe kifaransa ili kukwepa maswali napendekeza Taji apewe yule mshindi wa tatu.
Ni tetesi zinazo-make sense... cheki yenyewe ilikuwa short of amount... sasa wakimvua, huyo Lundenga lazima aanze deal upya na huyo mshindi halali...Kwa habari nilozosikia Taji Sitti keshajivua ila Lundenga ndio anangangania kua aendelee kubaki nalo.. hata ule uvumi wa mara ya kwanza nasikia ilikua kweli japo Lundenga akaja kukanusha kua si kweli.
Ni tetesi tu
Huenda amekula $ toka kwa baba mtu
Hata mi nasubiri maan kama atavua means yule wa pili apewe bas na kwa mfano akipewa hy wa tatu tutaanza tena ooooh tumemuonea namba mbili ....loo!
Hivi baba wa Kiafrika kupiga picha na binti yako akiwa kwenye mavazi haya hii ni adabu ya wapi?
hot news nilizopata...,
Zawadi unarudisha.., hivi mwaka huu alipewa gari???
kweli italeta malumbano tena....haiwezekani tumruke wa bila sabb za maana. halafu huyu wa tatu nimeona anapigiwa chapuo sana na le mutuz....sijui anamaslahi nae.
Hakupewa gari,Alipewa pesa mil. 18.
Mimi ningeshauri apewe yule Miss Karatu..