miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Kama ni pesa sirudishi....nasema nmetumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa ni wazi kuwa Dada Sitti Mtemvu atavuliwa taji kwa kudanganya umri na kuongoe kifaransa ili kukwepa maswali napendekeza Taji apewe yule mshindi wa tatu.
Nadhani yule ana sifa zote za kuwa Miss TZ.
NB
Ni hawa hawa kina Lundenga walimtema Miriam Odemba lakini leo ni maarufu Duniani.
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Miriam_Odemba
Endapo akipewa mshindi wa tatu lazima yataibuka maneno pia...Mimi naona wale top 5 washindanishwe tena ili tumpate mrembo halali...
Punguza mahaba kijana yule bibi bomba alikuwa amevaa nguo za juu tu.Mbona mbowe alipopiga picha anakula denda mbele ya wanawe mlisema ni mambo ya kawaida!!! Au kunya anye kuku, akinya bata kaharisha? Acheni double standard bana. Mkiamua kukosoa toeni kwanza mahaba na chuki zenu ndio mtakua mnaeleweka.
Kama ni pesa sirudishi....nasema nmetumia
Namkubali sana yule mrembo...
Yule ndo alistahili..
bora haki ya mungu
tena asepe zake mapema kuelekea mamtoni!
Hivi baba wa Kiafrika kupiga picha na binti yako akiwa kwenye mavazi haya hii ni adabu ya wapi?
Apewe wa tatu? That means wa pili arukwe?? Ana kizuizi gani kwani?
Wasije kumliza tena Hoyce Temu kama alipopewa yule mdosi Richa Adhia
Kama ulifuatilia utagundua mshindi wa tatu alikuwa na vigezo zaidi.Apewe wa tatu? That means wa pili arukwe?? Ana kizuizi gani kwani?