Tajikistan, nchi ya waisilamu 96%, yapiga marufuku uvaaji wa hijab

Tajikistan, nchi ya waisilamu 96%, yapiga marufuku uvaaji wa hijab

Duhhhh.....
Ngoja tusubiri matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwanza..šŸ™„
 
Huu ndio Uislam wa magharibi wanaoutaka yaan tuwe kama wao, mtu akitakakuvaa bikini sawa.
 
Huu ndio Uislam wa magharibi wanaoutaka yaan tuwe kama wao, mtu akitakakuvaa bikini sawa.
Hijabu ni vazi lililokua linavaliwa na wanawake wa mashariki ya kati kabla ya Uislam na Ukristo haujaingia duniani, walikua wakivaa kwasababu ya VUMBI la jangwani; Wayahudi walivaa hivo na Waarabu as well. Uislamu ulivokuja, uli copy kila kitu cha mashariki ya kati na kukifanya kua cha kidini. Hata jiwe la Makkah nalo limeingizwa kwenye dini lakini ni eneo walilokua wakiabudu miungu yao Waarabu, you can call, eneo walilokua wakifanyia ibada zao za masanamu, uislamu ukaja ukahalalisha kama Roman Catholic walivoihalalisha sherehe za tarehe 25th December na kuziita Christmas
 
Back
Top Bottom