Tajikistan, nchi ya waisilamu 96%, yapiga marufuku uvaaji wa hijab

Tajikistan, nchi ya waisilamu 96%, yapiga marufuku uvaaji wa hijab

KWA MAMLAKA IPI?
kwa mamlaka Ya Mungu,

Mwanzo 3:16
[16]Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
 
Screenshot_2024-11-04-09-57-34-169_com.android.chrome.jpg
 
kwa mamlaka Ya Mungu,

Mwanzo 3:16
[16]Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
MUNGU MPUUZI HUYO ANAYEWAFANYA WANAWAKE SUBJECTS, LEISURE OBJECTS OF MEN!
 
Asilimia 97 ya wakazi wa nchi hii ni Musilimu. Lakini bado wamepiga marufuku uvaaji wa Hijab. Why? Waachwe wanawake wavae Hijab jamani. Hawa ni viumbe vya kutuburudisha.
View attachment 3143009
Ukileta thread lete na vyanzo sio copy na paste ya kuunganisha picha wanawake wakiwa harusini au functioan maalum, likely hawa ni Indian woman sio vyema kujaribu kuusema na kuutukana uislam kila unapoandika hapa

Kuna comments mbaya watu wametukana uislamu baada ya wewe kueka huu upuuzi wako hapa, India imegawanyika wapo waislam lakini wapo wengi wanaoabudu dini tofauti na wengine ata dini hawana, unakuja hapa na kuwasema ni waislamu 97%, India sio Zanzibar mkuu fanya tafiti kwanza.
 
MUNGU MPUUZI HUYO ANAYEWAFANYA WANAWAKE SUBJECTS, LEISURE OBJECTS OF MEN!
Ndio ilivyo mbona, we angalia mabinti asipopata wa kumtongoza anaenda kwa waganga, hao wanawake wenye wenyepesa wanawanunua vijana ili kutimiza hilo lengo hata kama kijana atatoka na lishangazi bado hilo lishangazi litakuwa kwa ajili ya huyo mwanaume(kijana)
 
Hijabu ni vazi lililokua linavaliwa na wanawake wa mashariki ya kati kabla ya Uislam na Ukristo haujaingia duniani, walikua wakivaa kwasababu ya VUMBI la jangwani; Wayahudi walivaa hivo na Waarabu as well. Uislamu ulivokuja, uli copy kila kitu cha mashariki ya kati na kukifanya kua cha kidini. Hata jiwe la Makkah nalo limeingizwa kwenye dini lakini ni eneo walilokua wakiabudu miungu yao Waarabu, you can call, eneo walilokua wakifanyia ibada zao za masanamu, uislamu ukaja ukahalalisha kama Roman Catholic walivoihalalisha sherehe za tarehe 25th December na kuziita Christmas
Sitaki kulijibu hayo mengine itakua mada ndefu ila mimi nazungumzia ishu ya uvaaji mnayoipigia debe humu achana na mambo ya Uislam hivi hayo mavazi wanayotaka muyavae hao western nyie mnaona ni sawa? Tumia common sense tu ya kawaida achana na dini mbona siku hizi mnaweka chuoni na makanisani dress code? Halafu huku mtandaoni manjifanya eti uhuru camoon hakuna uhuru wa mwanamke kuvaa ovyo mimi tu siwezi kuongozana na mwanamke amevaa kijitaiti tuu wakati mwingine transparent. Ifikie wakati tureason wenyewe hayo mambo ya west kiukweli sio ya kuiga

Mkorintho huyo ana 1 anawaelekeza uvaaji wa mwanamke, mtego wa mashetani wakristo wengi hawajaustukia wamekua walaini sana
 
Attachments

  • Screenshot_20240903-083508.png
    Screenshot_20240903-083508.png
    172 KB · Views: 2
hako kanchi ndio mlango wa nchi za magharibi kuingia nchi kama afganistani nk. wazungu kama kawaidayao wzlivyoifanya iraq,uturuki,saudiarabia nk hivyo msishangae hata hiyo saudi arabia siku sionyingi ikiondoka kwenye tamaduni za kiislam. maana tayari wazungu washazitawala kiakili.
 
Wamesema Wanawake hawana tofauti na mifugo yaan mbuzi ng'ombe kondoo nguruwe na wapo kwa ajili ya matumizi ya Mwanaume au Wanaume
1 wakorinto 11:8 mwanamke ametoka kwa mwanaume hivyo yuko chini ya mwanaume
Kwa kila kitu hivyo acheni kuwainua hivyo ndio maana tunajuta saivi inafikia mume kuogopa mke mpaka kujiua chanzo ni nyinyi kuwatukuza kuwapa hadhi wasiostahili hawa viumbe, wakristo wengi hawaoi kwasababu mwanamke kwao yuko sawa na mwanaume
 
Zanzibar nchi ya waislam asilimia tisini na tisa lakini wasenge wengi kuliko nazi, changudoa buku mbili.
Najiuliza wanunuzi wa hawa wasenge Ni hiyo asilimia moja?
Karibia wote wanahudhuria ibada bado najiuliza anayewaweka Hawa wasenge mjini Ni Nani maana Wana kula na kuvaa ilhali hawana kazi.
Sijamtaj MTU, Ni mawazo yangu tu.
 
Sitaki kulijibu hayo mengine itakua mada ndefu ila mimi nazungumzia ishu ya uvaaji mnayoipigia debe humu achana na mambo ya Uislam hivi hayo mavazi wanayotaka muyavae hao western nyie mnaona ni sawa? Tumia common sense tu ya kawaida achana na dini mbona siku hizi mnaweka chuoni na makanisani dress code? Halafu huku mtandaoni manjifanya eti uhuru camoon hakuna uhuru wa mwanamke kuvaa ovyo mimi tu siwezi kuongozana na mwanamke amevaa kijitaiti tuu wakati mwingine transparent. Ifikie wakati tureason wenyewe hayo mambo ya west kiukweli sio ya kuiga

Mkorintho huyo ana 1 anawaelekeza uvaaji wa mwanamke, mtego wa mashetani wakristo wengi hawajaustukia wamekua walaini sana
Sijawahi kusikia kama kuna amri popote duniani kwamba watu wavae mavazi ya Magharibi; unless unikumbushe hilo mkuu. Well, Biblia ipo wazi, nje ya hayo maandiko ambayo ume refer; yenyewe yanazungumzia "Wakati wa kusali" mjadara hapa sio tuwapo kanisani or msikitini, mjadara ni mavazi kwenye maisha yetu ya kawaida, mitaani, makazini, mashuleni etc. Wewe umenukuu maandiko ya NDANI ya nyumba ya Mungu; siungi mkono mavazi ya nusu uchi or hata yanayo onesha nguo za ndani au hata nguo zinazo Bana, Biblia inazungumzia kuhusu mavazi ya kujisitiri. Biblia haija specify aina ya mavazi, utamaduni wenu unaweza kuamua maadamu nguo hizo zinasitiri mwili wako, nguo yako inakupa ujasiri wa kwenda popote, kanisani/msikitini, ukweni kwako, kwa wanao au wazazi wako hivo yaani. But again narudia, HIJABU no vazi walilokua wanavaa wanawake wa mashariki ya kati kabla ya uislam na Ukristo haujaingia duniani, lengo lilikua moja tu, sio DINI na wala sio agizo la Mungu, ilikua kwasababu ya VUMBI la jangwani lisichafue nywele zao, hivo yaani. Same as kanzu kwa wanaume, sababu ilikua ni hiyo hiyo tu. Hata hayo mambo ya kutawadha wanako fanya Waislamu leo, same thing; VUMBI miguuni wasiingie nalo ndani, uislam umekuja kuliweka suala la kiimani, wao walikua wakifanya everytime wanapotoka kwenye mishe mishe zao, hi ilikua ikifanyikia majumbani kwao na sio nyumba ya IBADA
 
Back
Top Bottom