Hataaa ni mawazo yako tuMarehemu atageuka Kaburini wallah!
We jamaa fala Sana, 😁😁 eti mlio wa ng'ombe😁😁😁😁😁Tajiri anayelia kama ng’ombe naye kasema ili nafsi yake iwe huru kuanzia sasa ataanika kila kitu.
Mambo ndio yameanza hivi itajulikana tu mbivu na mbichi.
Ameahidi kutaja waliosuka mpango mzima wa yeye kutekwa, alipopelekwa, walivodai mambo mbalimbali na sababu ya kutekwa.
Kasema hatoacha kitu kwani alikusanya taarifa za kutosha juu ya sakata lake hilo.
Alianza Zitto, kafuata Mwingira sasa atafuata tajiri mwenye mlio wa Ng’ombe hatoficha kitu na dunia lazima ijue hao watu walikua watu wa namna gani.
Mooo [emoji1787][emoji1787]Eti tajiri mwenye mlio wa ng'ombe [emoji23][emoji23]
mbona hamumpeleki mahakamani mpaka sasa??Kumbe ndio yule aliyekuwa anafadhili magenge ya Madawa ya kulevya, sidhani kama atathubutu kufunua mdomo wake…
Moooo... Moooo... Mooooo...Bashite umeusikia huo mwangwii?Tajiri anayelia kama ng’ombe naye kasema ili nafsi yake iwe huru kuanzia sasa ataanika kila kitu.