Tetesi: Tajiri Alietekwa Anajiandaa Kueleza Dunia Kila Kitu, waandishi Kuitwa Muda wowote sasa

wana mchango mkubwa sana kwenye umasikini wa WaTanzania na hujuma dhidi ya Tanzania kwa kigezo cha utanzania waliojivika huku kwa siri wakiwa na dual citizenship...
Umasikini umeletwa na ccm
 
Tajiri anayelia kama ng’ombe naye kasema ili nafsi yake iwe huru kuanzia sasa ataanika kila kitu.
Mambo ndio yameanza hivi itajulikana tu mbivu na mbichi.
Ameahidi kutaja waliosuka mpango mzima wa yeye kutekwa, alipopelekwa, walivodai mambo mbalimbali na sababu ya kutekwa.
Kasema hatoacha kitu kwani alikusanya taarifa za kutosha juu ya sakata lake hilo.
Alianza Zitto, kafuata Mwingira sasa atafuata tajiri mwenye mlio wa Ng’ombe hatoficha kitu na dunia lazima ijue hao watu walikua watu wa namna gani.
Kale kajamaa ni kasanii,kataishi kutaja mambo ya kanga tu
 
Tajiri anayelia kama ng’ombe naye kasema ili nafsi yake iwe huru kuanzia sasa ataanika kila kitu. Mambo ndio yameanza hivi itajulikana tu mbivu na mbichi.

Ameahidi kutaja waliosuka mpango mzima wa yeye kutekwa, alipopelekwa, walivodai mambo mbalimbali na sababu ya kutekwa.

Kasema hatoacha kitu kwani alikusanya taarifa za kutosha juu ya sakata lake hilo.

Alianza Zitto, kafuata Mwingira sasa atafuata tajiri mwenye mlio wa Ng’ombe hatoficha kitu na dunia lazima ijue hao watu walikua watu wa namna gani.
Muhindi hawezi
 
Bado hajaongea tu 🤣🤣🤣🤣

( Vitu wapendavyo wabongo )

Hapa watakaa kusubiria mpaka matako yalie mbwata
 
Wewe ndio umesema CCM imekufanya masikini, kwanini haijawafanya hao wanaokwambia masikini?
Hali halisi si unaiona, mazingira ya masikini kujikwamua nchini ni magumu Vikwazo kibao Ili wengi wabakie kuwa masikini Ili watawaliwe.
 
Tajiri anayelia kama ng’ombe naye kasema ili nafsi yake iwe huru kuanzia sasa ataanika kila kitu. Mambo ndio yameanza hivi itajulikana tu mbivu na mbichi.

Ameahidi kutaja waliosuka mpango mzima wa yeye kutekwa, alipopelekwa, walivodai mambo mbalimbali na sababu ya kutekwa.

Kasema hatoacha kitu kwani alikusanya taarifa za kutosha juu ya sakata lake hilo.

Alianza Zitto, kafuata Mwingira sasa atafuata tajiri mwenye mlio wa Ng’ombe hatoficha kitu na dunia lazima ijue hao watu walikua watu wa namna gani.
Kasemaje.? Au muda bado?
 
Hali halisi si unaiona, mazingira ya masikini kujikwamua nchini ni magumu Vikwazo kibao Ili wengi wabakie kuwa masikini Ili watawaliwe.
Amka Na wewe utajirike kama kina Heche, Msigwa, Mnyika, Mbowe.

Epuka kutumika kwenye agenda za watu
 
Back
Top Bottom