Tetesi: Tajiri Alietekwa Anajiandaa Kueleza Dunia Kila Kitu, waandishi Kuitwa Muda wowote sasa

Tetesi: Tajiri Alietekwa Anajiandaa Kueleza Dunia Kila Kitu, waandishi Kuitwa Muda wowote sasa

Yani bavicha wananishangaza sana. Jamani adui yenu ni ccm hawa viongozi ni muda tuu. Magufuli is gone but ccm is still kuwafirigisha. Kuweni na agenda inayoeleweka. Ccm wanawajaza upepo kidogo kwa gia ya kuwa na mpasuko mnajaa, mnasahau agenda ya katiba mpya.
Wewe upo CCM?
 
Kweli kiongozi .....

Hawa Propaganda za CCM hawazijui

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Tajiri anayelia kama ng’ombe naye kasema ili nafsi yake iwe huru kuanzia sasa ataanika kila kitu.
Mambo ndio yameanza hivi itajulikana tu mbivu na mbichi.
Ameahidi kutaja waliosuka mpango mzima wa yeye kutekwa, alipopelekwa, walivodai mambo mbalimbali na sababu ya kutekwa.
Kasema hatoacha kitu kwani alikusanya taarifa za kutosha juu ya sakata lake hilo.
Alianza Zitto, kafuata Mwingira sasa atafuata tajiri mwenye mlio wa Ng’ombe hatoficha kitu na dunia lazima ijue hao watu walikua watu wa namna gani.
AISEE, UNAJUA KUJIPOTEZEA MUDA ....

NDOTO ZA MCHANA

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Je atasema pia alivyovalishwa dera lililolowanishwa na maji...
 
Muweke kwenye orodha na yule mtu wa mapambio anaejiita jina la kanisa ambae kapanda ndege yuko hukooo kwa maablino kakataa kurudi BongoFleva Land.

NB. Joke 😁
 
Hii code imekuwa ngumu mnoo kwangu kuiUnlock mwenye supportive documents tafadhali

Msanii mmoja wa kufokafoka baada ya kupatikana kimchongo baada ya kutekwa kimchongo aliongea na waandishi kimchongo huku pembeni akiwa amekaa ngozi ya kenge (alipigwa polonium huyu ngozi ikawa kama ya kenge)… sasa kiitifaki lakini kimchongo alikuwa boss wa hao wenye codes…isingekuwa yeye wangejitokeza hao! Unganisha dots…
 
Roma Mkatoliki atuambie ni nani waliomteka.Tishio lilishakufa yupo huru
 
Back
Top Bottom