Ukiangalia namna hawa matajiri wa kizungu wanavyolea watoto wao utagundua ni kwa nini hata hao wazazi wao wanadumu na hizo mali.
Na Bill Gates anasema atawapatia watoto wake watatu wakike wawili na wa kiume moja dola milioni 10 tu kila moja ili wachakarike nazo kwani kuwapatia hela nyingi sio njia ya kuwasaidia.
Miaka ya nyuma nikiwa jijini Philadelphia, Pennsylvania nchini Marekani nilishangaa kuona watoto wa tajiri moja wa kiyahudi aliyekuwa ikiitwa Jan akimiliki mahoteli 6 kubwa kwenye jiji hilo watoto wake wa kike na wa kiume walivyokuwa wakiwasaidia kufanya kazi wafanyakazi kwenye hoteli zao bila kujali kwamba baba yao ndiye mmiliki wa hoteli hizo.
Hapa kwetu tunaona namna hata watoto wa viongozi tu walivyo na dharau kwa wananchi wa kawaida na hili ni swala la kiutamaduni zaidi kwani tunakumbuka hata wakati wa uchifu namna ndugu wa machifu walivyokuwa na viburi.
Hizi tamaduni za jamii zote duniani zina mema na mapungufu kwa kila jamii husika
****************************************
Rory, 25, alilelewa katika eneo kubwa la 66,000-sq-ft (6,130-square-mita) lenye thamani ya dola milioni 130 huko Medina, Washington, linalojulikana kama Xanadu 2.0 pamoja na dada zake wawili: Jennifer Gates Nassar 28, na Phoebe Gates 21, kama ilivyoripotiwa na South China Morning Post.
Journey of billionaire Bill Gates's only son from lavish estate to low-key life - VnExpress International