Tajiri Mo Dewji yule 'Scout' wako wa Mchongo mpaka sasa ameshakuletea majina ya Wachezaji wangapi wa maana kwa Simba SC yetu ya 2025/2026?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Kwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2 ila kwa Hasira wote nawapeleka Yanga na Azam ili nipate 10% yangu.
 
Mo alisema anasajili yeye mwenyewe kwenye kikao chenu mwanzoni mwa msimu wakati huo mkimshambulia mangungu kuwa anakula 10%

Alisema kasajili wachezaji 15 wa 16 ni mpanzu

Juzi Jayruti akasema kazi ya kusajili itakuwa yake sababu pesa anayo atatoa wachezaji kutoka Wydad Mamelod Pyramid na Esperance atawaleta Simba sababu Simba ni klabu kubwa

Mwisho akasisitiza anajenga uwanja wa kisasa wq Simba kama ule wa Real Madrid na ataleta bus jipya la Simba ambalo yanga hawana


Ndugu mtoa mada kwanini lawama mnampa mtu mwingine asiyehusika?
 
😀😀,noma sana
 
Nani amekwambia kuwa YANGA tunahitaji wachezaji wabovu?
 
Ukweli ni kuwa yule scout ni wa mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…