Tuletee hao wachezaji sie stand united mkuu utapata 15%Kwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2 ila kwa Hasira wote nawapeleka Yanga na Azam ili nipate 10% yangu.
Umeanza upopoma wako sioKwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2 ila kwa Hasira wote nawapeleka Yanga na Azam ili nipate 10% yangu.
Oooooh....kuanzia hapa ndo ukaanza ichukia Simba na kutaka Yanga. Hatutaki watu njaa. Baki huko huko na njaa yako. Yanga tuna utaratibu wa Hersi kutafuta na kusign hatutaki watu njaa madalali.Kwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2 ila kwa Hasira wote nawapeleka Yanga na Azam ili nipate 10% yangu.
Hahahaha!Wahuni kina Kitambi Ateba na bichwa boga Mutale.
Yeye anakimbia kimbia mwisho wa siku anakula mililioni 50 kwa mwezi..na marupurupu kibao juzi wametoka kupokea bilioni 4 za CAF...wewe uliekalisha mapumbu hapo ambaye hukimbii huna hata mia mbovu endelea hivyo hivyo.Na huyu mpanzu anayeamin kukimbiakimbia ndo kujua mpira...
Bichwa boga ila anacheza klabu kubwa barani afrika na analipwa mshahara mrefu , anaisadia familia yake , acha kuhusu marupurupu kibao kuanzia kwenye club Hadi kimataifa CAF...yote hii sababu anacheza Simba sports club, ila wewe ambaye huna bichwa kama boga naamin Bado utaendelea kua ufukara m Zaid ya huu ulionao,,,Hilo Nina uhakika kabisa. na ukiwa na ufukara huu ninakuhakikishia kwa mwenyezi Mungu kua lazima utazaa mtoto kichwa chake kitakua na umbo la Boga au wale watoto wenye vichwa vikubwa vilivyojaa maji. Kama sio wewe basi mama yako kama Bado anazaa au kwenye familia yako. Over and out. Nimekuwweka kwenye ignored list.Wahuni kina Kitambi Ateba na bichwa boga Mutale.
Huna hoja... Kwahyo hzo bilion 4 za kafu watakupa na wewe au vp?Yeye anakimbia kimbia mwisho wa siku anakula mililioni 50 kwa mwezi..na marupurupu kibao juzi wametoka kupokea bilioni 4 za CAF...wewe uliekalisha mapumbu hapo ambaye hukimbii huna hata mia mbovu endelea hivyo hivyo.
Kafie mbali na ufukara wako. Ignored list.Huna hoja... Kwahyo hzo bilion 4 za kafu watakupa na wewe au vp?
Unahisi ukifanya hivyo me nitapungukiwa na nin?Kafie mbali na ufukara wako. Ignored list.
Makolo huwa wanadanganywa kijinga sanaMo alisema anasajili yeye mwenyewe kwenye kikao chenu mwanzoni mwa msimu wakati huo mkimshambulia mangungu kuwa anakula 10%
Alisema kasajili wachezaji 15 wa 16 ni mpanzu
Juzi Jayruti akasema kazi ya kusajili itakuwa yake sababu pesa anayo atatoa wachezaji kutoka Wydad Mamelod Pyramid na Esperance atawaleta Simba sababu Simba ni klabu kubwa
Mwisho akasisitiza anajenga uwanja wa kisasa wq Simba kama ule wa Real Madrid na ataleta bus jipya la Simba ambalo yanga hawana
Ndugu mtoa mada kwanini lawama mnampa mtu mwingine asiyehusika?