GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi, Juice, Unga, Chapati, Mafuta na kadhalika.
Sasa kwa mfano Wewe Mzee wa Yanga SC na rafiki yangu mkubwa Said Motisha una Ubavu gani wa kuacha kununua bidhaa zozote za Kampuni ya Azam?
Sometimes Watu wa Yanga SC mna Mambo ya Kitoto na Kipuuzi mno. Jirekebisheni tafadhali sawa?
Mnaboa.....!!!!