GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wakiruka bidhaa ya Azam wataangukia Kwa Mo hahahha Simba oyeNa bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi, Juice, Unga, Chapati, Mafuta na kadhalika.
Sasa kwa mfano Wewe Mzee wa Yanga SC na rafiki yangu mkubwa Said Motisha una Ubavu gani wa kuacha kununua bidhaa zozote za Kampuni ya Azam?
Sometimes Watu wa Yanga SC mna Mambo ya Kitoto na Kipuuzi mno. Jirekebisheni tafadhali sawa?
Mnaboa.....!!!!
Ukivuka Kiwango cha Roho Mbaya unakuwa Mchawi wa Kutukuka maishani.Huitaji kugomea biashara zao, kinachotakiwa Kwa mwananchi popote alipo ni kutoa taarifa za ukwepaji wa Kodi ya Serikali Kwa kampuni yoyote ya Azam.
Nina uhakika haitachukua miaka 2 kampuni nyingi kama si zote zitakua zimefilisika.
Unajua awa Matajiri wanajisahau nakuona watu awaelewi michezo wanayo fanya kuhusu utajiri wao. Matajiri wengi nchi hii hawafanyi biashara Halali, wengi ni wakwepa Kodi na ndio base ya utajiri wao Sasa wanakuja kusumbua jamii Kwa pesa zinazotokana na kui ibia jamii.Ukivuka Kiwango cha Roho Mbaya unakuwa Mchawi wa Kutukuka maishani.
Kama serikali ikiwabana matajiri walipe Kodi kihalali sidhani kama GSM ataendelea kufadhili yangaUnajua awa Matajiri wanajisahau nakuona watu awaelewi michezo wanayo fanya kuhusu utajiri wao. Matajiri wengi nchi hii hawafanyi biashara Halali, wengi ni wakwepa Kodi na ndio base ya utajiri wao Sasa wanakuja kusumbua jamii Kwa pesa zinazotokana na kui ibia jamii.
Awa Matajiri ukiwabana walipe Kodi Halali bila kuwabambikia wengi hawatoboi na biashara zinakufa kifo Cha Mende.
Sanasana watahamisha mitaji kwenda nchi nyingine yenye chupri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi, Juice, Unga, Chapati, Mafuta na kadhalika.
Sasa kwa mfano Wewe Mzee wa Yanga SC na rafiki yangu mkubwa Said Motisha una Ubavu gani wa kuacha kununua bidhaa zozote za Kampuni ya Azam?
Sometimes Watu wa Yanga SC mna Mambo ya Kitoto na Kipuuzi mno. Jirekebisheni tafadhali sawa?
Mnaboa.....!!!!
Hii sio kwa Azam labda kama unasema gsm.Unajua awa Matajiri wanajisahau nakuona watu awaelewi michezo wanayo fanya kuhusu utajiri wao. Matajiri wengi nchi hii hawafanyi biashara Halali, wengi ni wakwepa Kodi na ndio base ya utajiri wao Sasa wanakuja kusumbua jamii Kwa pesa zinazotokana na kui ibia jamii.
Awa Matajiri ukiwabana walipe Kodi Halali bila kuwabambikia wengi hawatoboi na biashara zinakufa kifo Cha Mende.
Sanasana watahamisha mitaji kwenda nchi nyingine yenye chupri.
Unataka kusema Azam anakwepa kodi siku zote na Serikali haifahamu kwa hiyo wanahitaji msaada wa Mashabiki/ Wazee wa Yanga kupata taarifa ya jinsi Bakharesa anavyokwepa kodi?.Huitaji kugomea biashara zao, kinachotakiwa Kwa mwananchi popote alipo ni kutoa taarifa za ukwepaji wa Kodi ya Serikali Kwa kampuni yoyote ya Azam.
Nina uhakika haitachukua miaka 2 kampuni nyingi kama si zote zitakua zimefilisika.
GSM atafunga Biashara na kuikimbia hii Nchi siku ya pili yake tu.Kama serikali ikiwabana matajiri walipe Kodi kihalali sidhani kama GSM ataendelea kufadhili yanga
Achana na hilo Juha tafadhali.Unataka kusema Azam anakwepa kodi siku zote na Serikali haifahamu kwa hiyo wanahitaji msaada wa Mashabiki/ Wazee wa Yanga kupata taarifa ya jinsi Bakharesa anavyokwepa kodi?.
Precisely.GSM atafunga Biashara na kuikimbia hii Nchi siku ya pili yake tu.
Kwasababu hawana Akili period.Kwanini hao mashabiki wa Yanga wanataka kususia bidhaa za Azam?
Huenda mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu,
huo uamuzi wa kususia bidhaa hauwezi kupitishwa na yanga,huo ni msimamo ambao sio rahisi kuusimamia na yanga wala gsm hawawezi kuupitisha,hiyo vita itapiganwa nje ya biasharaNa bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi, Juice, Unga, Chapati, Mafuta na kadhalika.
Sasa kwa mfano Wewe Mzee wa Yanga SC na rafiki yangu mkubwa Said Motisha una Ubavu gani wa kuacha kununua bidhaa zozote za Kampuni ya Azam?
Sometimes Watu wa Yanga SC mna Mambo ya Kitoto na Kipuuzi mno. Jirekebisheni tafadhali sawa?
Mnaboa.....!!!!
Hii ndiyo akili ya watu maskini wanapowaza!!!!!Huitaji kugomea biashara zao, kinachotakiwa Kwa mwananchi popote alipo ni kutoa taarifa za ukwepaji wa Kodi ya Serikali Kwa kampuni yoyote ya Azam.
Nina uhakika haitachukua miaka 2 kampuni nyingi kama si zote zitakua zimefilisika.
Hivi tuwe wakweli kabisa mbele za Mungu,kati ya Bakhresa na Ghalib nani ana rekodi chafu ya kukwepa kodi hapa nchini? Nani asiyejua uchafu uliofanywa na HSC enzi za awamu ya nne?Unataka kusema Azam anakwepa kodi siku zote na Serikali haifahamu kwa hiyo wanahitaji msaada wa Mashabiki/ Wazee wa Yanga kupata taarifa ya jinsi Bakharesa anavyokwepa kodi?.
Una muhaho haswaa..!!!Na bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi, Juice, Unga, Chapati, Mafuta na kadhalika.