Tajiri na masikini, nani anaishi maisha ya raha kati

Tajiri na masikini, nani anaishi maisha ya raha kati

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
1_Masikini ndo hugegeda sana(starehe ya kila mtu)

2_Masikini ndo hulala sana
3_maskini hutumia muda mwingi na familia

4_masikini huinjoi chakula anachokula mfano kuku wali mara moja kwa mwezi au zaidi

5maskini huwa na muda mwingi wa kupunzika

6_masikini huwa hawazi kufirisika
7_ masikini huwa hana hofu ya majambazi kuvamiwa au kuweka mlinzi getini

Maskini wengi huwa ni God fearing

Utajiri je?
 
KILA MTU ANAISHI KWA RAHA KULINGANA NA AINA YA MAISHA ANAYOAMUA KUYAISHI.HAIJALISHI NI TAJIRI AU MASKINI
 
BAKI NA UMASKINI WAKO NIPO JUU YA KIFUA CHA MCHUMBA WAKO SASA.
 
Umejuaje tajiri haishi kwa raha!! tuanzie hapo
Maana naona umebase upande mmoja
 
Mi nadhan muhimu ni kuridhika na Hali yako, ndo utaish Kwa raha

Utapataje maendeleo kama unaridhika na hali yako?
Kwa mfano unaishi katika nyumba ya kupanga; ukiridhika na hiyo hali utawaza lini kumiliki nyumba yako mwenyewe?!
 
Hakuna anayependa kua maskin kla mtu anafany kaz aepuke umaskin i think jibu umepata
 
Usifanye mchezo na peace of mind unayokua nayo pale
1.unapotaka kwenda kokote unaweza
2.kula chochote
3.madem wakal unaotaka unapata
4.chochote unataka unanunua etc etc etc
Muulize diamond hil swal,..we huon had anangaa skuhiz,unafanya mchezo na utajir,...we jidanganye tuu
 
Usifanye mchezo na peace of mind unayokua nayo pale
1.unapotaka kwenda kokote unaweza
2.kula chochote
3.madem wakal unaotaka unapata
4.chochote unataka unanunua etc etc etc
Muulize diamond hil swal,..we huon had anangaa skuhiz,unafanya mchezo na utajir,...we jidanganye tuu
Madem pia ktk list? Vp kwa wanawake
 
Inategemea vile ulivyoridhika kuishi maisha yapi...

Kuwa maskini ni changamoto kubwa sana... Kila jambo utahisi unaonewa hata kama lipo kisheria..

Cc: mahondaw
 
Naomba masikini mnajitia moyo?

Ukiona mtu masikini basi jua huyo ni mvivu. Na endepo dunia ingekua na watu masikini wote yaani wavivu, hata huyo mnayemuita mungu msingemjua.

Samahani kwakua nimesema ukweli na ninajua ukweli unauma.

Pia inakupasa ujue kuwa ulimwengu unaoandaliwa ni wa matajiri. Amini nakuambia kama hutaitengenezea familia yako mazingira mazuri ya baadae, basi jamii yako itanaangamia. Kwanini nayasema haya.
. Kila kitu kinawekwa kwenye mfumo wa fedha.
Hapa namaanisha hapo badae kutakua hakuna kulima. Maana yake ni kwamba wale masikini wanaotegemea wavune ndo wale, basi itakula kwao
 
Utapataje maendeleo kama unaridhika na hali yako?
Kwa mfano unaishi katika nyumba ya kupanga; ukiridhika na hiyo hali utawaza lini kumiliki nyumba yako mwenyewe?!
Si kila ndoto huwa kweli, hakuna asietamani kumiliki nyumba yake, au Mali zake, hii ni kutokana tunapanga na mungu nae anapanga.

Usione mtu ana 60+ hana nyumba ukadhani kapenda
 
Hilo swali ulilouliza lipo katika kipengele cha "tashtiti" maana yake unauliza swali ilihali jibu lake unalijua,mfano leo hii mtu akuulize "ni kweli JK Nyerere amekufa? Huwezi kumfananisha bakharesa na mwokota makopo ya uhai then useme muokota makopo anaishi kwa raha
 
Kwanza kabisa maskini ana mawazo ya kijinga kuliko tajiri,maskini anamini ili mtu awe na hela lazimu aloge,maskin anawaza uchawi tuu hana jipya.
 
Maskini wanazaana bila mpangilio,tajir anafanya kila kitu kwa utaratibu
 
Unaweza ukawa na mali, kila kitu unapata lakini usiwe na amani ya akili. Masikini anaweza kumshinda tajiri kwa amani ya akili. Kwa nini? Tajiri anaweza kuwaza masharti kibao ya utajiri wake, lakini masikini hana sharti lolote, hata kama ni utajiri halali (kama upo) huwaza swala la majambazi na wasiwasi, wa mali yake mwenyewe. Siufagilii umasikini ila kama ni utajiri halali poa utajilinda unavyojua. Hata kama ni halali ni kwa nini ujifungie kwenye gate?
 
Back
Top Bottom