Mmiliki wa Amazon nae sasa kuja na Kampuni yake ya Magari.
Kwa kuanza, anakuja na 2 seater Pick-up truck itayouzwa kwa $25k tu. Hii ni bei ndogo kuliko Tesla yoyote iliowahi kuuzwa. Taarifa zaidi za gari kama battery, motor na power hazijawekwa wazi ila sio muda zitakua wazi.
Ikumbukwe kwa sasa Amazon wanatumia delivery cars kutoka kampuni ya Rivian, hii inamaanisha miaka michache ijayo wataanza kutumia magari yao binafsi katika delivery.
Naona bado kuna anguko la kampuni ya Tesla..kitendo cha Elon musk kujiingiza kwenye siasa kimefanya wapinzani wake waingie rasmi kwenye projects za magari