Tajiri Roman Abromavich akabidhi timu ya Chelsea kwa Bodi ya Wadhamini wa club hiyo

Tajiri Roman Abromavich akabidhi timu ya Chelsea kwa Bodi ya Wadhamini wa club hiyo

Abramovic ni smart Sana amefanya hivyo kwa maslahi mapana ya team yetu ya chelseafc maana wamemuandama Sana so akaona ajiweke pembeni kidogo ili upepo mbaya upite arudi kwenye shughuli zake za kawaida
Leo

Liverpool 6 Chelsea 0
 
Weka maneno sawa amejiuzuru kwenye uongoz ingawa atabaki kuwa mmiliki wa Chelsea
 
Back
Top Bottom