The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Rostam Aziz akiwa na Rais wa Jamhuri ya Zambia Hakainde Hichilema wakati walipokutana katika Ikulu ya Lusaka baada ya mazungumzo ya kikazi ikiwa ni takriban miaka miwili impita tangu wawili hao wakutane mara ya kwanza.
Bilionea Rostam aliyeanza kuwekeza nchini Zambia katika sekta ya nishati alionekana katika viunga vya jiji la Lusaka wiki kadhaa zilizopita.
Bilionea Rostam aliyeanza kuwekeza nchini Zambia katika sekta ya nishati alionekana katika viunga vya jiji la Lusaka wiki kadhaa zilizopita.