Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Wewe ndo inaonyesha unaweza kujikojolea Kwa uwoga ulionaoamka kijana utajikojolea
Wewe ndo inaonyesha unaweza kujikojolea Kwa uwoga ulionaoamka kijana utajikojolea
Kuna akili kubwa na ujanja ujanja tofautishaAKILI KUBWA
Tofautisha mfanyabiashara wa kimataifa na dalali wa kimataifa wa rasilimali za wananchiRostam Aziz ni mfanyabiashara wa kimataifa
Kule kwenye mazishi ya Raila Odingo, alionekana yuko busy sana kwenye simu na ku-chat na waziri wetu wa mambo ya nje, labda kule kuchat ndio ilikuwa haya mambo yake na Hakainde Hichilema.
Haters wa Samia mtakufa Huku mkiwa mmekodoa mimacho na kuachama kinywa mpaka wenye waoshaji watapata hofu. Poleni sana.
Mfanyabiashara lazima uwe mjanja uweze kuloby ili shughuli zako ziendeTofautisha mfanyabiashara wa kimataifa na dalali wa kimataifa wa rasilimali za wananchi
Mwekezaji smart hahitaji kujipendeza Kwa watawala
Tofoutisha ujanja na mjanja mjanjaMfanyabiashara lazima uwe mjanja uweze kuloby ili shughuli zako ziende
Wewe unaushahidi wa Rostam Azizi kuiba madini?.Tofoutisha ujanja na mjanja mjanja
Rostam na Mo nani tajiri
Kwanini shutuma sio Kwa Mo Wala Bakhresa
Ulishasikia hao watu wakijipendekeza
Ujanja ujanja ni Kwa matajiri uchwara na madalali wa rasilimali za wananchi
Jitahidi kutumia akili kutofautisha hao watu
Wewe una ushahidi kwamba hajaiba rasilimali za nchi ?Wewe unaushahidi wa Rostam Azizi kuiba madini?.
Mimi nilikuwa nafanya mgodini na kampuni yake ya Caspian huyu jamaa ni hard worker hata Magufuli alikuwa anamhusudu.
Zaidi ya zile porojo za Polepole na pamoja na kutuaminisha kwamba mitungi ya Gesi ni 2500 havana Cuba ni wapi umeona Rostam Aziz kaiba?Wewe una ushahidi kwamba hajaiba rasilimali za nchi ?
Acha wivu, kaiba nini na lini?? Umaskini siyo sifa na wivu utakuuaSio tajiri ni jizi hilo.
Hivi wewe uko sawa kweli upstairs.Zaidi ya zile porojo za Polepole na pamoja na kutuaminisha kwamba mitungi ya Gesi ni 2500 havana Cuba ni wapi umeona Rostam Aziz kaiba?
Nitamuaminije mtu anayesema mtungi wa gesi ni buku mbili jero.Wewe na Pole pole nani aliwahi kukaa kwenye nafasi kubwa ya maamuzi katika nchi.