Tajiri Rostam Aziz akutana na Rais wa Zambia kikazi

 
Serikali inatakiwa kuwapendelea wafanyabiashara wa Kitanzania ili waweze kushindana na hawa Wachina Wachina Zambia wameikamata yote.
 
Mfanyabiashara lazima uwe mjanja uweze kuloby ili shughuli zako ziende
Tofoutisha ujanja na mjanja mjanja
Rostam na Mo nani tajiri

Kwanini shutuma sio Kwa Mo Wala Bakhresa
Ulishasikia hao watu wakijipendekeza

Ujanja ujanja ni Kwa matajiri uchwara na madalali wa rasilimali za wananchi

Jitahidi kutumia akili kutofautisha hao watu
 
Wewe unaushahidi wa Rostam Azizi kuiba madini?.
Mimi nilikuwa nafanya mgodini na kampuni yake ya Caspian huyu jamaa ni hard worker hata Magufuli alikuwa anamhusudu.
 
Wewe unaushahidi wa Rostam Azizi kuiba madini?.
Mimi nilikuwa nafanya mgodini na kampuni yake ya Caspian huyu jamaa ni hard worker hata Magufuli alikuwa anamhusudu.
Wewe una ushahidi kwamba hajaiba rasilimali za nchi ?

Au unafikiri wizi tunauzungumzia ni ule vibaka vya mtaani unaona anachukua anaweka mfukoni.

Rostam na Mo na Bakhresa nani tajiri na Wote sio wa bantu lakini huwezi kuwasikia.

Ulivyo mjinga unadhani kuwa kibarau au mfanyakazi wa mgodini ndo unakuwa unajua Kila kinachoendelea sio .

USiwe kama mazuzu yalikuwa yanapewa gololi yanatoa almasi
 
Zaidi ya zile porojo za Polepole na pamoja na kutuaminisha kwamba mitungi ya Gesi ni 2500 havana Cuba ni wapi umeona Rostam Aziz kaiba?
Hivi wewe uko sawa kweli upstairs.

Wewe na Pole pole nani aliwahi kukaa kwenye nafasi kubwa ya maamuzi katika nchi.

ulitaka umoone akiiba na kuweka mfukoni kama vibaka wa kariokoo ??

Kuwa kibarau kwenye mgodi wake usijione unajua Kila kitu

Shirikisha akili vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…