Tajiri yenu anaeleweka au nije mniuzie hiyo timu?

Tajiri yenu anaeleweka au nije mniuzie hiyo timu?

Fanya jambo tajiri .
20250723_174547.jpg
 
Tajiri mpaka muda huu ameshatumia zaidi ya bilioni 87. Na msimu huu usishangae akitumia bilioni 100 kwenye usajili tu. Tajiri hana baya.
 
Ndugu zangu nadhani mmeona manufaa ya kuniuzia bandari, mnaonaje mkiniuzia na hii timu inayo suasua?
Ww badala ya kuendelea na mambo ya kwenu unahangaika na mambo ya jirani yako,labia ya umaskini ni mbaya sana.Nyie ndo mnakulaga nyama unaacha kunawa ili ukawalingishie majirani na kusema sisi tumekula Nyama jinga kabisa ww UTOPOLO
 
Back
Top Bottom